LIONEL KLASSEN & KIJANA GIMONGE RECEPTION WEDDING

BRIDE & GROOM::LIONEL & KIJANA
VENUE::JENERALI GIMONGE RESIDENTIAL-KUNDUCHI
COLOR::RED, TANGERINE
MC::KIDE -
CATERER::
DECOR:: 


Lionel & Kijana, pendeza eeh bi harusi amekwenda na ule usemi wa "less is more" 
Setting & Deco
 Wakikata keki pamoja
 Nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo eeh!!
 Maharusi wakikabidhi keki kwa wazazi

 Wakibariki keki kwa pamoja

Wanakamati wakiondoka na keki yao ya vunja kamati kwa furaha!!!!

Burudani,kulikuwa na ngoma ya kikuriya!!!!

Mama na mwana wakicheza ngoma ya myumbani
Rusha roho!!! Bishara wapi weye na hapa ndio mahali pako!!!


Samaki ana vipande vingapiiiii??


Kijana & Lionel walitoa zawadi kwa wazazi wao kuwashukuru

 Jeneral Waitara na mke wake walipata zawadi toka kwa maharusi

Wifi wakitunza, walinfurahisha sana hawa mawiii walikuwa na vigelegele vya aina yake...!!
Bishara na shostito Mrs. Mniko, wakienda mtunza Mr & Mrs Gimonge, Bishara funika ile mbaya uko juuuuu!!!


Wafanyakazi wenzake Miriam Gimonge toka Equity Bank waliingia na "you chop my money cause I dont care mwaga pesa ile mbaya style ya Naija walimwagia pesa za kutosha
Miriam analia kwa furaha

Bishara akimfuta jasho shostito wake Mrs. Mniko, akisndikizwa na familia yake Kihago's


Muhaza & Beauty

Asha & Hawa


Mama Waitara akiongoza na zawa yao kwa maharusi

 Ni MADINI zawadi ya ukwee'ee
Mama Waitara akipeleka zawadi ya wanakamati, kwa Kijana & LionelNYUSO
Mama na mwana
Baba na Mwana
Wadau wangu Mashughuli Blog asanteni kwa sifa kemkem kichwa kisije vimba tu


Miriam & Kijana sisterz

Vibandiko eeh vilitawalaMr & Mrs Gimonge
  Miriam na baba Jeneral Gimonge
Miriam & shostito mmefunika ile mbaya
Nga'ri nga'ri
Equity Bank Staff wazee wa pesa chezea wao!!!

Mama na Mwana

 Asha
 Bishara & habib wake umependezaje!!
 Bi Hadia!!!


Sistaz
Beauty
Muhaza na wifiye wa ukweee'e
 Fashionistaz 
Red Carpet
Nguo ya bishara na shosti designer Joha Simba
 piga simu kama umependa
+255 715 612 954
Designer Joha Simba mpigie imetulia eeh!!
+255 715 612 954
Miriam

pozi kwa sana eeh!!!

Muhaza

Hawa

Beauty

SWAGA
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. dahhhhh wamependeza sana nimependa rangi zao hazimchukizi mtu nyekundu na gold safi sana

    ReplyDelete
  2. amependeza sana kijana sura yake haibadiliki uzuri wa asili tangu shuleni lugalo ,ila dada bahati mbona sijamuona

    ReplyDelete