BRIDE & GROOM::LIONEL & KIJANA
VENUE::JENERALI GIMONGE RESIDENTIAL-KUNDUCHI
COLOR::RED, TANGERINE
MC::KIDE -
CATERER::
DECOR::
Lionel & Kijana, pendeza eeh bi harusi amekwenda na ule usemi wa "less is more"
Setting & Deco
Wakikata keki pamoja
Nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo eeh!!
Maharusi wakikabidhi keki kwa wazazi
Wakibariki keki kwa pamoja
Wanakamati wakiondoka na keki yao ya vunja kamati kwa furaha!!!!
Burudani,kulikuwa na ngoma ya kikuriya!!!!
Rusha roho!!! Bishara wapi weye na hapa ndio mahali pako!!!
Samaki ana vipande vingapiiiii??
Kijana & Lionel walitoa zawadi kwa wazazi wao kuwashukuru
Jeneral Waitara na mke wake walipata zawadi toka kwa maharusi
Wifi wakitunza, walinfurahisha sana hawa mawiii walikuwa na vigelegele vya aina yake...!!
Bishara na shostito Mrs. Mniko, wakienda mtunza Mr & Mrs Gimonge, Bishara funika ile mbaya uko juuuuu!!!
Wafanyakazi wenzake Miriam Gimonge toka Equity Bank waliingia na "you chop my money cause I dont care mwaga pesa ile mbaya style ya Naija walimwagia pesa za kutosha
Miriam analia kwa furaha
Bishara akimfuta jasho shostito wake Mrs. Mniko, akisndikizwa na familia yake Kihago's
Muhaza & Beauty
Asha & Hawa
Mama Waitara akiongoza na zawa yao kwa maharusi
Ni MADINI zawadi ya ukwee'ee
Mama Waitara akipeleka zawadi ya wanakamati, kwa Kijana & Lionel
NYUSO
Mama na mwanaBaba na Mwana
Wadau wangu Mashughuli Blog asanteni kwa sifa kemkem kichwa kisije vimba tu
Miriam & Kijana sisterz
Vibandiko eeh vilitawala
Mr & Mrs Gimonge
Miriam na baba Jeneral Gimonge
Miriam & shostito mmefunika ile mbaya
Nga'ri nga'ri
Equity Bank Staff wazee wa pesa chezea wao!!!
Mama na Mwana
Asha
Bishara & habib wake umependezaje!!
Bi Hadia!!!
Sistaz
Beauty
Muhaza na wifiye wa ukweee'e
Fashionistaz
Red Carpet
Nguo ya bishara na shosti designer Joha Simba
piga simu kama umependa
+255 715 612 954
Designer Joha Simba mpigie imetulia eeh!!
+255 715 612 954
Miriam
pozi kwa sana eeh!!!
Muhaza
Hawa
Beauty
SWAGA
dahhhhh wamependeza sana nimependa rangi zao hazimchukizi mtu nyekundu na gold safi sana
ReplyDeleteamependeza sana kijana sura yake haibadiliki uzuri wa asili tangu shuleni lugalo ,ila dada bahati mbona sijamuona
ReplyDelete