LEO KWENYE KISOMO CHA ARUBAINI YA MAREHEMU BABA YAO TAHIYA

Ghaife, Tahiya & Hellen - Best Friends Forever...lol!!!


 Tahiya & Brenda

 Halima Kamusi, Hawa Mkamba, Tahiya Dawood, Ghaife & Hellen
 Tahiya & faiza
 Tahiya & Sabaha

 Tahiya, Mwajuma & Ashley


 Halima & Mariam Mntambo
 Rehema Twahir & Hania
 Jamila a.k.a Teacher
 Ghaife & Amina
 Brenda, Shamimu, Hawa & Tahiya


 Salama Kingui & Friend
 Sharrifa & Mwajey


Hina

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Mmependeza sana na madera yenu! mashallah wote pc zimetulia wabongo mnatisha sana. Umbea sio sikazi ila kusutwa ndio noma. Tahiya mbona Shosty Najma Abdallah wa block 41 sijamuona? kishanuka nn? Mana matukio muhimu sana yanayokuhusu simuoni. Ila sitashangaa sana kama kimenuka. Bidada Najma ushoga hauwezi, nilijua tu hamuwezi fika mbali. hakuwa taypu yako kabisa. Nilio waona hapo siwajui ila wote kwa macho tu ni marafiki. Kila la kheri.

  ReplyDelete
 2. pc zimetulia wabongo mnatisha sana. Umbea sio sikazi ila kusutwa ndio noma. Tahiya mbona Shosty Najma Abdallah wa block 41 sijamuona? kishanuka nn? Mana matukio muhimu sana yanayokuhusu simuoni. Ila sitashangaa sana kama kimenuka. Bidada Najma ushoga hauwezi, nilijua tu hamuwezi fika mbali. hakuwa taypu yako kabisa. Nilio waona hapo siwajui ila wote kwa macho tu ni marafiki. Kila la kheri.

  ReplyDelete
 3. Tahiya ni mtu wa watu sana tu pole na msiba mwenyezi mungu amlaze pema peponi amen by ARAFA

  ReplyDelete
 4. Pole ndg yangu na msiba wa baba yako uwa nakupenda sana wewe mdada unajua kuishhi na watu mashallah mwenyezimungu akujalie kila la kheri na amleze peponi baba yetu

  ReplyDelete
 5. Ukijuwa kuishi na watu na watu wanakupenda bana yeye mtoto wa mujini bana na watu huwa wana muitika pole na msiba mwaya ma dera yapo bomba kinoma

  ReplyDelete
 6. Masikini pole na kufiwa pole sana

  ReplyDelete
 7. jamani nimependa madira nikiyataka wapi nitapata bi mashughuli

  ReplyDelete
 8. poleni wafiwa nimependa haya madira wapi nitapata

  ReplyDelete