KITCHEN PARTY - UMMY SEKIBO (SWEETY)

BRIDE::UMMY SEKIBO
VENUE::CHICHI HOTEL
COLOR::BROWN, TANGERINE & CREAM
MC::KIDE - +255 655 902 403
CATERER::CHICHI HOTEL
DECORATION:: ODESTA  DECORATION SINZA-0767 215 253
MAKE-UP ARTIST: MAXELL KINONDONI
DRESS DESIGNER:: HALIMA KAMUSI

Ummi akiingia ukumbina na mashosti huku wakicheza kwaito

pendeza eeh!!!
Hairstyle by Marselli

Kwanza kabisa mama alinaza kwa kumpa Ummi maneno ya akiba pale atakaposhindwa basi akumbuke maneno haya ya mama

Mama na mwana
deka mwaya Ummi kwa mama...!!
Shughuli hii iliongozwa na MC Kide, wadau naomba nimuongelee MC-Kide nimewahi kukutana naye mara nyingi tu kwenye shughuli za kitchen Party, Send Off & Wedding Reception nikiwa nafanya tathmini yangu ili niweze waletea jibu ee bwana huyu kwa sasa namba moja!! mpe kazi halafu leta majibu kwangu, kwanza shule iko anafanya kazi yake kwa confidence, hata imetokea bahati mbaya mkawa nje ya ratiba huwezi amini maajabu atakayofanya, hana maneno ya karaha ambayo yanaweza wakera waalikwa!! mpe kazi Kide anaweza na IQ yake iko bomba nadhani maMC wanatakiwa kuwa waelewa wa mambo, wasiliana naye kupitia no.:
+255 655 902 403
 MASHAUZI FAMILY !!


 Pale MC anapoaamua kunogesha shughuli, si unajua zile shughuli nyimbo inapigwa mnatazamana, basi yeye ucheza na kiuno mashallah, ukija shughulini na stress zako MC Kide anaziondoa zote utacheka.!!!!

Cake Samira ndani ya JumpsuitMh. Rita Mlaki akitoss na Ummi

Zawadi
Mama alimkabidhiUmmi sofa set iliyoweza fika ukumbini, kutokana na hali ya hewa ni mvua vitu vingine hakuviweza kufika, bed room set, friji double
 Zawadi ya Ummi kwa mama, 


 Ndipo kinamama walinyayuka kumtunza Jamila Siwa, kwa kulea, kutunza & kuozesha


 

 somo sophia

 Ummi alikuwa na zawadi za aina 2, moja ni kwa waalikwa wote na nyingine na maalum
 hereni za silver

 akimpa zawadi yake Hawa Mkamba
 Jane
 
 Samira alipata zawadi...!!mawifi wakienda toa zawadi
Samira alimpa shosti MICROWAVE, kitu ndani ya box, akasindikizwa na dada yake Mariam na nduguze, si unajua Mntambo family!!!

Malaika Group
Walikabidhi Gas CookerChakula..!!!
NYUSOR: Zuhura, Mariam K & Aisha-bi harusi mtarajiwa..!!

Mariam akiwa na wadogo zakerd  

 
SWAGAMashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

18 comments:

 1. nice kitchen party mungu hamdumishe kwenye ndoa yake ..ameen

  ReplyDelete
 2. wowww watu wamependeza wote mashallah na shughuli nzuri

  ReplyDelete
 3. walipendeza sana hawa wadada na wamama pia..
  ila wengine make up zilikuwa too much but wengi swagger zao zimependeza

  ReplyDelete
 4. Wamependeza lakini mtarajiwa ndio kapendeza zaidi sipati picha hiyo siku ya harusi atanogajee! Mashughuli bwana siku hizi unatupa shughuli nusu nusu humalizii unatunyima uhondo.

  ReplyDelete
 5. very nice................
  we love Africa

  FROM AUSTRALIA

  ReplyDelete
 6. HARUSI AMEPENDEZA SANA NA WATU WENGINE WAMEPENDEZA
  KWA MTAZAMO WANGU HUYO MC ANAFAA SHUHULI ZA KISWAZI ZAIDI SHUHULI CLASSIC HELL BIG NOOO MDA MWINGI ALIKUA ANABOA KULETA SWAGA ZA KINA JOTI CJUI MPOKI OVYOOO ABURUDISHE LAKINI VIKIZIDI SANA VINABOA TOKEA BB HARUSI AMEINGIA UKUMBINI HAIJAPIGWA HATA NYIMBO MOJA WATU WAKACHEZA NA BII HARUSI RAHA YA SHUHULI MZIKI WATU WACHEZE NA SHOTI WAO

  ReplyDelete
 7. Anonumous wa mwisho kucomment naomba na mimi niongee kidogo kuhusu hii shughuli natumai ulikuwepo ndio maana umeongelea suala la kucheza, bi harusi kaingia ukumbini saa 3:30 usiku na kama kawaida ya watu hawataki kucheza mpaka wamuone bi harusi kaingia ukumbini, baada ya bi harusi kuchelewa kukawa hakuna tena muda wa kucheza kitchen party ina mlolongo wa mambo mengi sana, ilibidi aende hivyo hivyo hata kukatisha mziki huku watu wakicheza baada ya kutoa zawadi ili aweze kumaliza kabla saa ya mwisho wa hall, naomba unifafanulie zaidi kuhusu shughuli za uswazi zinakuwaje???

  ReplyDelete
 8. Jamani hapa tunaelimishana tu!! mtu yoyote mwenye kuelewa zaidi anakaribishwa

  ReplyDelete
 9. mamaa mashuhuli mbona sie hatujatokezea na shosti wangu au ndo kwa vile hutujui manake picha zimejirudia za watu unaowajua tu wenzio mtu akipendeza unampiga picha unarusha FYI Ukiweka picha za watu walopendeza inapamba blog yako pia kuliko kujaza za aina moja kisa unawajua by the way shuhuli ilikua poa sana

  ReplyDelete
 10. BIBI WEEEE TUMEENDA SHUHULI NGAPI ZIMECHELEWA KUANZA NA BADO MC ANAWEKA MDA WA KUCHEZA USIMTETEEE TUUU WAKATI NI WENGI WALIKUA WANANUNG'UNIKA.UTACHEZA BII HARUC HAJAINGIA NA SHUHULI INAANZA MHUSIKA ANAVYOINGIA UKUMBINI NDIO UTAPATA SHAUKU YA KUCHEZA UKIANGALIA HATA ZAWADI HAZIKUWA ZA MLOLONGO MREFU KIVIIILE MC MBOVU MBOVU TUUUU

  ReplyDelete
 11. Hongera bi Arusi kapendeza, pia huyo Msimamizi wake kanikosha haswaaa, yaani Simple lakini kapendeza.

  ReplyDelete
 12. no coment,mlipendeza sana

  ReplyDelete
 13. uMMy umependeza sana shogangu yani umefunika haswaaaa Mungu akusaidie ufike hatua ya ndoa ufanikiwe zaidi

  ReplyDelete
 14. sare nzurije tulipendeza sana lakini picha nilopiga na ummy hujaniweka mashuhuli

  ReplyDelete
 15. mh mtoto kapambika chezea makser!!! kila la heri sweetyummy

  ReplyDelete
 16. Kapendeza tu ila si kusema kafunika haswaaaaaa

  ReplyDelete
 17. Ummy Sweety SekiboMay 16, 2012 at 6:40 AM

  Jamani asanteni wote kwa kunisuport wapenzi

  ReplyDelete
 18. C MKACHEZE MAJUMBANI KWENU HAPO NI KUMUAGA BI HARUSI NA MAMBO YA ZAWADI C BURE ATAKUWA NA CHUKI NA MC.UCKUTE YE NI MSWAZI ZAID

  ReplyDelete