Sponsor

KIM Vs GWYNETH - NANI KAFUNIKA??

1:05:00 AM

 

Wadau hapa mimi sikubaliani na who wore it best, hapa inategemea na shepu pia sasa hiyo shepu ya Kim si unaona nguo ilivyojimwaga kuendana na shepu? au mnasemaje?? maana huku wajuzi wengi, kwa sababu mimi sivai nguo ambayo haendani na shepu yangu, wala sivai nguo kwa sababu fulani kavaa kapendeza naangalia shepu yangu kwanza!!, Naamini wote wamependeza kila kivyakeYou Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.