GUSAGUSA LANGO LA JIJI JUMAMOSI HII 26/05/2012

 Gusagusa wanapatikana jumamosi lango la jiji Magomeni na Jumatano Maxi Bar Ilala, wana wa mujini hakuna wengine!!!!
 Bi Hafua akipasha taratibu ndani ya Lango la jiji
 Hasina Moo, mke peke wa Awadhi,akimtunza Hafua chezea Hasina toto ya Tutty Fruity!!!
Hasina pamoja na wakurugenzi wa Gusagusa

Aza, Hasina Lwiham & Hafua

Hasina na waimbaji wa gusagusa shurti kwa sare!!!
Wapenzi wa gusagusa
Wapenzi wa gusagusa, kwa raha zao!!!

 Aza!
 Hawa ndio BOSS wa Gusagusa Hassan & Fonichupa
 Hasina & Lwiham
 Mkulima angara Gusagusa baada ya kuondoka Melody
 Hasina Moo & Shostiti wamependezaje!!!!
Mambo ya Gusagusa ndani ya Lango la Jiji kila Jumamosi, usikose!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. KIUKWELI SHOO ILIKUWA NZURI NA WATU WALIPENDEZAJE? WAPI FONI CHUPA AKA MZEE WA JIDODO LINAKUCHUKUCHA.NAKUONA MUTOT YA MZEE MOORE WA KIUKWELI,WAPI IPTSAM

  ReplyDelete
 2. Duu embu naomba namba ya Hassan tafadhali mama MASHUGHULI,mdogo wangu huyu,,,,au waweza mpa namba yangu 0713 238684,namtafuta sana,ni mimi kaka ake UNGUJA huku.

  ReplyDelete
 3. werawera...... gusgusa dolaaaaaaaaaaaaaa gusagusa helaaaaaaaaa gusagusa mpo juu full mpango mzima gumzo jijini wapi maaaasina moo

  ReplyDelete
 4. HASINA MOO NI MZURI SANA KILA SIKU YUPO VILE VILE KWELI MZEE YUSUPH ANGEMZEESHA

  ReplyDelete