DALILAH DARLING 8TH BIRTHDAY PARTY-MAREKANISpecial cake for Queen
 Dalilah Darling birthday gal
 Mama wa MADINI ya ukwee'e Ghaife
 akizima mishumaa yake...lol
 Dad's daughter akimpa kipande cha keki  Time for my sweet mother
 party people!!!!!
Dalilah na mashostitos
MISOSI YA UKWEE'E NAKUAMINIA GHAIFE
 Dad akitayarisha mishikakiWatu waliklaje kama mko bongo vile
NYUSO
mum & daughter
Fashionista Ghaife


 


RED CARPET

 Dalilah & best friend wake!!! pozi vimwana


 pendeza eeh!!!


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

28 comments:

 1. Mashallaah party imenoga na mashostito waalikwa wote mmependezaa.

  ReplyDelete
 2. DA ZABIBU,REVERE, MAMay 29, 2012 at 8:21 PM

  MDOGO WANGU GHAIFE "SHIKAMOO" NIMEONA NIJISHUSHE ILI NIKUPE HESHMA KWA KUANDAA KITU KIZURI,AMA KWA HAKIKA UNATUPA BONGE LA CHANGAMOTO WABONGO WOTE WA MASSACHESSETS NA US KIUJUMLA,KUMBE TUNAWEZA NA INAWEZEKANA KUFANYA VITU CLASSY..!

  Congratulations for the classy birthday party...kila kitu kilikua classy na watu classy pia.

  HAPPY BIRTHDAY DALLILAH

  Sayz mama chichi.

  ReplyDelete
  Replies
  1. HONGERAZENU MUISHIO NJE. SISI TUTAISHIA KULIMA VIAZI

   Delete
  2. JKHJKJKJL;JL;KLL;

   Delete
 3. mdau wa u turn blogMay 29, 2012 at 8:33 PM

  Mwenye kununa anune mwenye kucheka acheke lakini ukweli ni kwamba Da Ghaife umetisha,uko juu sana naona umenikata kauli mpaka nimeishiwa maneno ya kusema ilhali ni msemaji kupitiliza.Kama kuna mtu bado anakereka sasa itabidi tu ahame mji na kurudi kijijini ambako hakuna access ya social networks ili asiwe anakusoma wala kuona picha kama hajui kusoma mpaka leo.

  ReplyDelete
 4. mdau wa u turn blogMay 29, 2012 at 8:34 PM

  heheeeeeeeeee waosha vinywa watajibeba,kazi kwao mipicha ndo hiyooooooooooooo...................

  ReplyDelete
 5. Hongera sana mama wa biashara Ghaife,party ya mwanao ilikuwa nzuri mashallaah,watoto wanaonekana wako happy sana,tunakusubiria kwa hamu na mzigo mwengine na sie tupendeze kama unavyopendeza wewe mwenyewe inshallaah,ni mimi mteja wako wa Arusha.

  ReplyDelete
 6. Mie hiyo mikilo ya MADINI unayoivaaga shingoni mwako tu huwa nakuwaga hoi,God bless you.

  ReplyDelete
 7. Watu wa majuu mnapenda bifu na mashindano!! Eeeh hamuwezi kusifia shughuli ya mtoto kuwa ni nzuri na ilipendeza Mashallah, kisha mkamuombea dua njema mtoto wa mwenzenu Mwenyezi Mungu amkuzie, ampe afya njema na ampe makuzi mema maana huku manchi ya watu kulea watoto ni mitihani, mmekalia mambo ya ibilisi (kushindanisha shughuli, shindishaneni kumcha mungu faida yake ni kubwa).

  Ghaife sikujui hunijui, ila nimependa jinsi unavyoshirikiana na wenzako, na shughuli ya mwanao imenoga, namuombea dua njema Allah akukuzie mtoto wako kwenye makuzi yaliyo mema ampe afya na umri ameena.

  ReplyDelete
  Replies
  1. kushindana katika kufanya mambo mazuri hakuna ubaya,mbaya kushindana kurejeshana nyuma,mashindano ruksa ila yawe constructive.

   Delete
  2. Haikatazwi kushindana mambo mazuri lakini kama kweli wao wanampenda Ghaife na familia yake badala ya kumtia Zongo au husda kwa kusifia shughuli wangelimuombea dua njema mtoto wake. Hata wazungu mbona huwa wanatakiana mema kwenye shughuli, japo mtu aseme basi kizungu Dalilah Happy Birthday, May God grant you your wishes or May you live a 100 years. Lakini sivyo watu macho yamewatoka kwa shughuli hata lengo lenyewe halionekani. Nafikiri lengo la kuwekwa hapa ni kumtakia kheri huyo binti kama nilivyofanya hapo juu.

   Delete
  3. Voice of "watu wa majuu"May 31, 2012 at 3:55 PM

   Hiyo isikunyime usingizi mdau,lengo nadhani pamoja na kumtakia siku njema ya kuzaliwa mtoto wetu lakini pia kupeana challenge ya kuandaa vitu vizuri,sherehe hizi tunawafanyia sana watoto wetu but kama mwenzetu kamuandalia mwanaye shughuli nzuri sio ubaya watu kuitumia shughuli kama mfano wa kuigwa,kwa kufanya hivyo hakuna anayeumia wala kuumizwa kati ya birthday girl mwenyewe wala mama yake sanasana wasiopenda kuona mungine anasifiwa ambao ni ngumu kuwa control wa hivyo sana sana unawaacha tu waendelee kupata mateso.

   KATIKA A.O.B. - HAPPY BIRYHDAY BABY DALILLAH,MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU MWANETU.

   Delete
  4. Thank you namshukuru Allah kwa kila kitu alhamdullillah.

   Delete
 8. Shughuli imenoga, nakuona da Mishy ndani ya nyumba, hala hala mti na macho!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. hata mie nimemuona dada mwanahamisi kumbe yupo anga hizo,ndo maana simuoni mjini siku hizi

   Delete
 9. kwa kweli kaza buti shostito Ghaife,kula matunda ya jitihada zako,wewe ni mjasilimali kwa kwenda mbele,haujalala kama hao wengine wenye mashindano ya ma group ya kijinga,wewe ni mama wa biashara kwa kwenda mbele,tunakusubiri sana sana next na sisi utupendezeshe,hongera sana mtoto wetu alifurahi saana na mashoga zake,party imenoga kwa kweli shosti.

  ReplyDelete
 10. mumependeza mashosty wakawaka

  ReplyDelete
 11. Bff mashallah mashallah umetisharr sana haise jipart limekwenda shule upo juu wangu HBD mwanangu dallilah mwenyezi mungu akujalie uwe mtoto mwema kwa wazazi wako hongera best kwa kumkuza binti yetu,hapana chezeiyaaa ghaifeee utauza duka!!!

  ReplyDelete
 12. huyo mama mwenye kanga alihisi atachafuka huko ulaya mama sio tandale uzuri

  ReplyDelete
 13. Umependeza na wanao wa kiume wamekuwa majibaba ya haja utadhani hujawazaa wewe mungu akukuzie

  ReplyDelete
 14. Lovely family God bless you,hongereni sana Mr&Mr's Frisch wapendanao hao,M.mungu azidi kuwajaalia kila la kheri na awaepushie kila lenye shari,nawapendaga saaaana nyie kwa jinsi mlivyoshikana ngangari no matter what.

  ReplyDelete
 15. Anonymous hapo juu,nani kakwambia mwanamke wa kitanzania akivaa kanga ni kwa ajili asichafuke,haujui kuwa kanga ni vazi letu sisi wanawake na tunajivunia kulivaa popote pale tulipo,mwanamke kanga na kapendezaje huyo mama.

  ReplyDelete
 16. Mashallaaah mimi binafsi nimependa kila kitu katika hizo picha,watu wamependeza na watoto bwana wanaonekana wamefurahi sana.Ghaife kula ile kitu roho inapenda,tena nimesikia una big big shunguli zinakuja za mambo mazuriiiiii,usitusahau tu mapicha humu maana mimi love you shostito wangu,God bless you my love.

  ReplyDelete
 17. Ahsanteni wote,namshukuru Mwenyeezi mungu kwa kila jambo alhamdullillah.

  ReplyDelete
 18. HAPPY BIRTHDAY DALILAH INSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE UMRI NA AFYA NJEMA
  pendeza saum na kabinti chako mashallah mwenyezi mungu ukukuzie na ukupe afya wewe na family yako.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ameen kwetu sote dear alhamdullillah,

   Delete
 19. Nimependa mlivyoandaa hii birthday,lovely.

  ReplyDelete