BEST FRIENDS FOREVER RE-UNION DINNER AT SEACLIFF, KARAMBEZI


Tahiya
Amina Amour
Ghaife
Hellen
Time for dinner
 Re-union time, Best Friends Forever!!!

Red Carpet
Happy time to be remembered
 
SWAGA
Hairstyle imetulia done by Marselle
 
 Handbag inayobamba kwenye cha sasa ukitoka kuona hii style 
ingia zeze
MADINI MADINI KILOS!!!
 Watch imetulia eeh!!!
sio kiatu tu na mguu wenyewe mashalllah!!
Keep watch mashughuli Blog for our theme
"BEST FRIENDS FORVER"

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

18 comments:

 1. Dada helen mmependeza sana! Nimependa zaidi nguo yako umenunua wapi ?

  ReplyDelete
 2. Beautiful ladies.. Flo

  ReplyDelete
 3. pendeza sana mashostito....mungu hawazidishie upendo

  ReplyDelete
 4. pendeza sana mashostito............mungu hawazidishie upendo wa kweli.ameen

  ReplyDelete
 5. I love Ghaife mhh mpaka udenda unanitoka. U look good mamie

  Mama Dja

  ReplyDelete
 6. Mashallah! wamjini kweli utawajua mashallah. Napenda sana wanawake wakipendana. Mungu azidi kuwapa upendo wakweli. tahiya My dear hao ndio marafiki mm najua kwa Najma Abdallah wa block41 kimeshanuka. Yule sio shosty nilijua tu kwako atachemka. Ushosty hauwezi wala haujui,Nawala hakai na mashosty kwanza hana kabisa. Ww nimtu wawatu mashallah ila pale ulitaka kuingia choo cha kiume saudi Arabia.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Ghaife nimekuona mwenyewe mtoto wa springfield naona unawakilisha vyema mamaa.

   mdau zabibu parker,revere massachessetts.

   Delete
 7. dahhhhhhhhh jamani mmependeza mpaka raha dada hellen nimeipenda sana iyo gauni yako umeinunua wapi jamani na ni shillingi ngapi tafadhali naomba unijulishe

  ReplyDelete
 8. pendeza sana wadadanyie.. nimependa mmevaa kiheshima na classic zaidi.. hellen nimependa swagger zako.. nakuaminia mnooo mashughuli uko juu sana...
  huyo rafiki yako Ghaife naye ana swagger za majuu kanoga sana pia na Tahiya ana cute face..
  pendeza mno nyie..

  ReplyDelete
 9. Du that teabon stake, hadi udenda!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Sio teabon stake but T-born Steak jamani hiki kiswangilishi mh noma

   Delete
 10. Nakuona Tahiya kwa raha zako that is friend forever

  ReplyDelete
 11. Ghaife pendeza sana mdogo wangu

  ReplyDelete
 12. Mashostito mko juu.mmependezajeeee.

  ReplyDelete
 13. Wanawake mko juu..huo ndio urafiki,nawaomea kwa mola mzidi kushikana na mahasidi msiwape nafasi ya kuwaingilia mapenzi yenu..yaani hadi raha jinsi mlivyopendeza wenyewe mashallaah.

  ReplyDelete
 14. Helen mama wa mashunguli uko juu..wewe na mabest wako mmependezajee,Ghaife mashallaah on point sis,Tahiya dada wa msasani nakuaminia,somo Amina amour umependezajee.mie penda sana nyie.

  ReplyDelete
 15. Dada Hellen pendeza sana wewee jamani. Ur dress is such nicee. Mdg wako Vivienne.

  ReplyDelete
 16. Ghaife naona umetinga jiugonjwa la haja shingoni kwako,chezeea wewe kwa MADINI,mmependezajee na mashoga zako,nimewapendendajee mdogo wangu,mie penda wewe sana,ni mie dadio wa CT.

  ReplyDelete