AQDI YA UMMI & MWINYI - KUCHI HALL

Ummy Sweet Sekibo akiingia kuchi hall 
tayari kwa ndoa yake na mwinyi
kabla ya ndoa kufungwa sheikh alichukua idhini ya Ummy


Kabla ya ndoamawifi wakija na mkeka kutandika ili Ummy akae mkekani, mume wake atampa mkono akiwa amekaa chini, hii nayo kwangu ndio mara ya kwanza naiona
Ummy akiwa tayari kumsubiri mumewe aje kumpa mkono

Busu la kwanza baada ya ndoa tamuje

 Ummy Sweet Sekibo au Mrs. Mwinyi baada ya kufunuliwa shela na mumewe! umenogaje mdogo wangu!
 Mwinyi alikunywa maziwa kisha akamnywesha mkewe, tujuzeni wadau hii ina maana gani? nimeiona mara nyingi kwenye ndoa
 Mume akimvisha mke wangu pete ya ndoa
 naye Ummy alivisha mume wake pete kwa heshima 
zote inapendeza eeh!!
  Pete imekaa mahali pake, twakuombea dua ikae miaka 100

Chereko chereko ya ndoa


Mama akimuombea mwanaye dua njema huko aendako

Tunza

 Mama yake mwinyi alimtunza mkwewe

 Mawifi nao kila mmoja na upande wa khanga wakamtunza Ummy
Picha ya pamoja na wifi zake

Chakula

Naona Ummy kazi ya mafundo imeanza kumuangalia mume, akimpakulia chakula
NYUSO MOI na mwali wangu pamoja na maharusi...lol


Rukia na mashostito na maharusi Hajary wapenda picha weye......!!!
  

 mashostito na maharusi
Dada yake Ummy akiwa pamoja na maharusi

 Hajary, Sophia, Sophia & HamidaSophia Kihago & Sophia Mkindi
Rukia & friends

Mwali wangu Leyla, pozi muhimu.....!!!Red Carpet
Mama mzaa chema - Jamila Siwa

Mama na mashisti wa Ummy, nimewapenda mwanzo mwisho na shostito
Rukia umependezaje, Fatma umemuona shostito soon nitamalizana na wewe dogo langu 

Swaga

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Maharusi wamependeza haswa na watu wote kwa ujumla. Ilikuwa nzuri!!

  ReplyDelete
 2. SHUGHULI ILIKUWA NGA'RI NG'ARIIIIIIIIIIIIIII

  ReplyDelete
 3. mashallah ndoa nzuri maharuc wapependeza sana mungu halinde kwenye ndoa yao ....ameen

  ReplyDelete
 4. Thanx Dada Hellen!,

  Much love
  Rukia!

  ReplyDelete
 5. Thank you rukia mdogo wangu I really appreciate!!!

  ReplyDelete
 6. si mchezooo aunty mashughuli nakuaminia kwakupiga picha nagari ngari . Mrs Mwinyi alichorwa vizuriii mashalaah
  Ms Leyla

  ReplyDelete
 7. Mashallah bibi harusi kapendeza kuliko shughuli zote, ila mbona picha za wake hazimo da hellen huyu mama mkwe wake ummy mbona haonekani na huku mmeandika mama mwinyi akimtunza mkwewe?

  ReplyDelete
 8. Kumnywesha maziwa bibi harusi, kuvaa nguo ya kijani bibi harusi na kusali rakaa mbili kabla ya maharusi hawajaingia ndani vyote hivyo ni sunna. Na sunna ni kwamba Mtume S.A.W amevifanya au amewaona moja ya masahaba zake wakifanya wakati wa uhai wake na akakubaliana nao, lakini msimamo ni kuwa mara nyingi mwenyew Mtume S.A.W amefanya na akapenda wafuasi wake watekeleze, kwani kutekeleza sunna unapata thawabu lakini ukiiacha hupati dhambi.Hii kuvaa nguo ya kijani hata siku ya skukuu nadhani ni sunna.

  ReplyDelete