SALMA MAHSEN!!!!

Function           ::: Salma Mahsen Sister's Night
Theme               ::: Blast Ballroom
Colour               ::: Yellow & Light Blue
Entertainment ::: Kibao Kata Live!!!!
Venue               ::: Danken House - Mikocheni BViatu vya ukwee'e
Pata jibu kidole cha kati hapo...!!!
ile red lipstick inanogaje
Salma!!!!

Salma alijilisha mwenyewe kwa kujipa hongera..lol, inahusu raha jipe mwenyewe!!

 

 
MC - Ahalat Mish

DIVAS..!!!

Divas!!! mmengarije baby dolls...!!!


Kibao kata cha kufa mtu.......!!!

 Bilal Mashauzi chezea yeye angalia usije lala uani ukaunza mpaka kitanda...!!!Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. kila mtu ana mvuto.bi harusi aliemtia make up nampa hongera sana,kwani make up yake imetulia

  ReplyDelete
 2. duh mashughul hii sherehe ya ck nying sn tulishaiona kwny mablog mengne KTAMBO, KFUP UMECHELEWA SN KUTUWEKEA CJUI MUDA AU

  ReplyDelete
  Replies
  1. ni kweli shughuli imeshapita muda mrefu inabidi uwe makin na post unazoweka repetition is not good

   Delete
 3. kila kitu bomba lkn jmani too much photoshoped mmpaka inaonesha.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Photoshop kitu gani ? Unabishana kitu halisia ?watu wazuri wana kazi !

   Delete
 4. Makeup perfect aliempamba anajua kazi yake.Iwe mfano kwa wenzetu ambao hujipaka vipodozi visivyoendana na rangi zao.Pia sielewi kwa nini kinamama wanapenda paka poda nyeupe yaani last touch!.Binti ni mrembo mashallaah na wote mmependeza.

  ReplyDelete
 5. shughuli nzuri imependeza ila viatu vya huyno dada mbona vilikuwa vikubwa jamani

  ReplyDelete