POLE EVE COLLECTIONS KWA MSIBA WA MWANAO ISABELLA

 ISABELLA BENITO BULEGO
 

Nampa pole mbunifu wa mavazi Eve Collections kwa kuondokewa na mtoto wake Isabella, ni wakati mgumu sana, mimi kama blogger ambaye ni mpenzi wa design zako kwa kweli nimesikitika sana! sisi tulimpenda Isabela lakini Mungu kampenda zaidi, apumzike kwa amani na mwanga wa milele amuangazie eeh bwana!! Amen

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

11 comments:

 1. Mama Isabela Pole sana, Mungu kampenda Kiumbe chake ameamua kikapumzike. Yeye katangulia, Tumwombee. Huu ni wakati mgumu sana kwako, lakini kila jambo lina maana, mbele yake Mola.
  RIP Isabella

  ReplyDelete
 2. Ni Bulengo kama watu huwajui usijipendekeze.

  ReplyDelete
 3. Mdau namba 2 umenisikitisha sana kukosea ni jambo la kawaida especially "keyboard error" na ni wajibu wako kunikosea pale unaona nimekosea, lakini huna haja ya kuweka maneno yasiyokuwa na msingi nijipendekeza kwa Eve Collection ili iwe nini?? mimi namjua Eve na nimwewahi kumpiga picha mara nyingi tu kwenye show ambazo ameshiriki, wewe kama huna chuki zako binafsi kwangu nafikiri hapa si mahali pake!! jamani tuwe na woga wa kutuma comments kama hizo, kila binadamu ataonja umauti!!!

  ReplyDelete
  Replies
  1. Umeongea point dada mashughuli, wanadamu hatupendani hata kidogo na haswa ukishaanza kufanikiwa kidogo tu ndo watu wanakuchukia bila sababu na chanzo haswa ni kwa vile wanajua hawawezi kuwa kama wewe unakuta anatafuta pa kukosoa. Jane

   Delete
 4. Jamani hii ni hatari sana,,Binadamu unakuwa sio mwoga kuandika maneno yasiyokuwa na busara katika blog,hasa katika post hii ya msiba,,mmummh!Huyo sasa naona anachuki zake binafsi,,Kwani kukosea jina ndio nini!mtu unakosea kuandikia jina lako mwenyewe itakuwa jina la mtu mwingine,,Bora umekosea kwa mtoto aliyefariki,je ingekuwa harusi au birthday ingekuwaje!Ndo ungesema anajipendekeza tena?
  Mimi naona comment zisizofaa Mashughuli acha kuzirusha,,maana zinaharibu sifa ya blog..kitu kama hicho unakideletia mbali...
  Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya malaika huyo mahali pema Peponi!Nimesikitika sana nimeona katika michizi. jana,,Masikini mtoto mdogo Malaika wa Mungu,,hana Dhambi huyo,,Msaaafii!
  Inna Lillahi waiynna Illahi Laju'un!
  MPORA MNO MNO!Muhaya Mwenzangu!
  Mwenyezi Mungu awape Subira katika kipindi hiki kigumu mno!
  Mbalikiwe sana!
  Ahlam,,,London

  ReplyDelete
 5. Mdau namba 4 nimepost hii comment ili nyie muone jinsi watu wanavyokuwa na roho za kinyama!!! comments kama hii inamuelezea ni mtu wa aina gani!! lakini kama yeye si mpenzi wa hii blog niko tayari kusema simuhitaji asibonyeze kitufe, kuna watu wengi ni wapenzi wa mashughuli na wananiheshimu kwa kazi ninazofanya afilie mbali msh******!

  ReplyDelete
 6. Sasa wewe madau unaeseme Mashughuli kakosea ebu naomba ingia kwa 8020fashions Blog halafu pale chini ya picha zote soma je utaona shamimu kaandika Bugelo au Bungelo then na yeye pia mtumie msg kama hiyo, roho mbaya haijengi da Mashughuli utakuta huyo ni shoga yako kabisa ana la kufanya kuanzisha bloga hajui na atarusha kitu ili watu asubuhi awaze kuingia bloguni je kuna jipwa mpe bushiiiiit za ukweee'e

  ReplyDelete
 7. Pole nyingi sana kwa Eve Collections kwani kaondokewa na malaika wake aliyemuwekea mipango mingi sana kwa baadaye.. Mungu amfariji na kumpa tumaini tele la maisha yake..
  wewe uliyeleta maneno ya kiswahili kwenye hii blog ni vyema ukarudi kwa njia uliyoingilia kwa sababu MASHUGHULI BLOGSPOT isn't a right place for you!! We as Mashughuli fans prefer the peace and info in here rather than your silly comments pliz

  Mashughuli Blog kwa mm iko juu sana zaidi ya mnara wa saa..
  hahahaha chezeyaa toto la posta town??
  Nakuaminia mama Teta tupe mambo mazuri sie fans wako tuzidi furahi

  ReplyDelete
 8. Asante dogo langu la ukweee huyo wa hiyo comments atabaki anapost maneno yake ya kiswahili sie tunasonga mbele wanaona gere!!! asanteni wadau wangu for your support!!!!

  ReplyDelete
 9. nakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na blog yako pia waswahili achana nao wasikuharibie siku my dada.

  ReplyDelete
  Replies
  1. aisee huyu jamaa alie comment ushenzi ana roho mbaya sana! hivi kuna mtu anajipendekeza kwenye kifo! binadamu kwa kweli mmmh! mpaka siamini.. au amechekelea eve alivyoondokewa? tujirekebishe binadamu tuchague maneno ya kunena jamani.

   Delete