Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mwantum Malale kuwa
mjumbe wa tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya katiba mpya, wakati wa hafla
fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya ikuli jijini Dar es Salaam leo
Kwa picha zaidi ingia kwa http://michuzi-matukio.blogspot.com/
HONGERSA ILA TUNAOMBA UWE MUAMINIFU KWANI MUNGU NDIO JAJI WA MWISHO
ReplyDelete