Hakika, Mauldi na Lunch ya Baby Ismail - Upanga


Baby Ismail, asubuhi alivishwa kanzu kwani kulikuwa na maulid ya kumfanyia duaMama na mwana..!!!
Baada ya maulid na dua kuisha Baby boy Ismail alibadilisha nguo..!!! eeh! Khadija uamini?? hayo mambo ya Tindwa yuko juuu!!! anacheza ba dollar tu

 Mama na mwana.....!!!

DuaBi Hapsa MbarakaArafa Tamba

MaakuliHaya sasa hapa ndio kinanda na kutunzana


Khadija alikalia kiti ili atunzwe


Huyu ni mama mkwe waje Khadija, Halima Mbuyu ndiye aliingia na zawadi ya mume wake Ismail, mama mkwe uko juuuu!!!!


Akaiingia somo Sharrifa Kavu wa ukweee'e, si mnakumbuka sanduku la sharifa kwa mwali wake wakati wa harusi??? mpake leo hapana ona sanduku kama lile...chezea shariffa utalala njaa
akisindikizwa na Happy Baghdella


Zawadi ya Somo, sasa somo wa ukwee'e mbona umeleta pink...!!!! na wewe wa mjini
Mbange sauti yake yamtoa nyoka pangoni


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Makubwa hayaa!! watu penda shughuli, ila mama mashughuli mimi binafsi nakufagilia sanaaa kaza butu utawashika tuu picha zako hazina upendeleo kama kina fulani blog nzima anajaza picha zake tu sijui ndiyo nini au anajinadi mwenyewe!!! keep it up mama

  ReplyDelete
 2. Watu kwa uchonganishi, hii blogu unaona imeandikwa mashughuli na kazi yake ni kuonyesha shughuli mbali mbali anazokutana nazo ndio lengo la blogu. Na huyo unayemsema na blogu yake na yeye ana malengo yake, hebu tuweni wastaarabu kidogo vitu dunia nzima havinani na ukitaka kila blogu ifanane basi haitakuwa na maana tena.

  ReplyDelete
 3. watu wamependeza myenyezi mungu inshallah awakuzie mtoto wao
  anon wa kwanza usiharibu hali ya hewa humu acha unafiki km unaona blog nyengine wanaweka mapicha yao tu nawe hupendi usiingi
  acha jelousy

  ReplyDelete
 4. JAMANI JAMANI!KWANI HUYO ANON WA KWANZA KAKOSEA NINI?HIVI KUMSIFIA MASHUGHLI KAZI YAKE YA KUTOKUWA NA UPENDELEO,NI MBAYA?MTU UNAMPA SIFA NA KUTOLEA MIFANO VILE VILE,,MIMI MWENYEWE NAPENDA MNO KUANGALIA PICHA ZA MASHUGHLI KWA KUWA ZINANIKUMBUSHA HOME SANA,,MAANA MIMI NI MSWAHILI WA MITAANI KWA HIYO NAFURAHI KUONA SHUGHLI KAMA HIZI NAHISI PENGINE NA MIMI HAPO NINGEKUWEPO NAMASHUGHLI AKANICAPTURE.

  NI KWELI BLOG ZINGINE NYINGI TU ZA HAPO HOME WENGI WANATOA KINA FLANI NA FLANI MTU WA KAWAIDA MSWAHILI HUPIGWI PICHA LABDA UWE UMEVAA KITU CHA KISASA!,,NA WENGI WAO WANAPENDA KUJIONYESHA TU PICHA ZAO NA MAISHA YAO..KWA HIYO KUSEMA UKWELI,,NAPITIA BLOGS NYINGI LAKINI HII YA MASHUGHLI HUWA INANIPELEKA MBALI SANA,,NAFURAHI KUONA SHUGHLI ZA WENZANGU WASWAHILI WA MITAANI SIO TU KATIKA MAHOTELI MAKUBWA AMBAO SISI WENGI WASWAHILI HATUFIKI HUKO NA WALA HUWEZI KUALIKWA HUKO KAMA WEWE SI SOMEBODY!!!NA NAPENDA BLOG YA MICHUZI KWA HABARI ZA NYUMBANI!

  MASHUGHLI USIBADILI HUU MWENDO WAKO WA KUDEAL NA SHUGHLI ZA KISWAHILI NA PENGINE KIDOGO MAMBO YA KIZUNGU HUWA NAONA MARA MOJA MOJA,,LAKINI WADAU WENGI TUNAPENDA KUONA SHUGHLI ZETU,SISI WA MBALI,WENGI NIKIANGALIA NAWAJUWA,,KAMA,HUWA NAMUONA DA SHARRIFAH,NA MDOGO WAKE MARIAM(NAKUMBUKA SANA DA MARIAM ALIVYOKUWA AKIJA LIKIZO ANAISHI ITALY NA DA SHARRIFAH ALIKUWA AKIISHI SAUDIA.WAPE SALAAM NYINGI SANA!
  AHASANTE SANA DADA KWA KAZI YAKO NZURI MNO

  AHLAM,,,UK!

  ReplyDelete
 5. Aisee napenda maulidi ya nyumbani siku hizi. Gone are the days, watu kukaa kwenye mikeka. Sasa bado matenti yaje na mafeni, kupunguza joto.

  ReplyDelete