THANK YOU FATMA MWAMBA!!!

Ni raha iliyojee kuwa na mdogo wako anayekupenda na kukuwaza wakati wote hata kama uko mbali na macho yake!! asante Fatmah you make my day!! nguo ni nzuri sana nimependazeje dada yako we acha tu, utaniona dear, Mwenyezi Mungu akupe bila kipimo!!! maneno yamekwisha kwa furaha umeona eeeh!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Hongera dada nguo yako nzuriiii mie nimeipendaaaa natamani uivae nikuoneeee,mie penda sana coti na clutch!! Ni mm mdau Wa ikulu.

    ReplyDelete
  2. awwwwwwwww.....nguo nzuriiiiiii mama juniour namuaminia anajua kuchagua,yan ni nzuriiiii utapendeza kweli helen......ni mm mdau leyla.......

    ReplyDelete
  3. wooow nguo nzuri Bishosti Fatma kwa kuchagua namuamnia!Hongera mtu na dadake.....Rukia!

    ReplyDelete