GROOM::BABUG
VENUE::POLICE OFFICERS MESS
COLOR::BLUE, RED & WHITE
MC::NOORAT
CATERER::TALMA
CATERER
Wakwe wakiingia ukumbini
MC Noorat wa ukwee
Cake & Champaign
Hii ilikuwa suprise cake toka kwa Junior Tamba
Meza kubwa!!!
Chakula
Jamani chakula la Mariam Twahir ni kinzuri sana!!!
Family Picture
BabuG & Dk. Tambwa nzuri eeh!!
Walinogaje?? man in black halafu linen, chezea Dk wa mjini wa mjini tu hapotezi njia
Zawadi
Rusha roho!!
Ahmed Mkali
Jokha Kasim
Baba na mama wakienda kukabidhi zawadi
maneno mawili matatu hivi, but kubwa ni kwamba tunakupa zawadi
kubwa kushinda vitu vyote duniani
Pokea "Masaafu", hakuna jambo lisolowezekana hapa
si unawajua sie kina mama kwa zawadi, mama akaongeza naye
na flat screen na showcase yake
Tunu Pinda akipeleka zawadi yake
Tunu akikabidhi feni tuliambiwa kwamba ina AC
Tunu akiwatuznza mama na baba tamba
Mama mkwe akenda toa zawadi yake kwa Babug
Mama Bambo pendeza!
Wanakamati walimpa babu G 150,000/=
Tunza
Hapa ndip pale ninaposema mama tamba alitunza million 8
Marima mntambo akitunza mashuka masafi, si unajua somo eeh!
Ushawahi kuona mnzazi anatunza uji? basi mama Tamba aliletewa uji
Nyota na Salma wakitunza mama tamba
Mariam Twahiti naye alimtunza mama Tamba
Salma mahseen amependazaje?
Salma Nyangasa mama wa TBL tupa kule million 2 alimtuma dada yake yeye alikuwa hayuko umeona utu eeh!!
huyu aunty alitunza dollari
NYUSO
Salma Mntambo & Tunu Pinda
RED CARPET
Congratulation Bishara mungu akulinde kwenye ndoa yako Harusi nzuri sana na watu wote wamependeza mashaalah..Kpeace
ReplyDeleteMama Mashughuli, ahsante sana kwa picha nzuri, kweli wanawake wa Tanzania ni warembo sana ila kitu kimoja tu kinatia dosari kwenye urembo nacho ni makeups wanazozitumia. Naomba uwaeleze kama utaweza wapake foundation kutokana na rangi zao, kwani kuna wengine wanapaka rangi tofauti na rangi zao kwenye picha inaonyesha kama vile wamepaka unga. Ni ushauri tu.
ReplyDeleteMdau hapo juu nakuunga mkono.
ReplyDeletetoo much make up humfanya mtu atokee kama kituko hasa akipaka isiyosawa na ngozi yake
wengine mpaka ukiwaangalia macho yanatoa machozi.
sijapenda huyo mr.Tamba anaonekana ni muislam mzuri sasa kuvaa tasbihi mkononi na huku akipokea pombe maana yake nini mnamchezea M/Mungu kwenye mambo ya marusha roho na mapombe mnamuingiza na M/Mungu hiyo sijaipenda tumcheni M/Mungu ukweli wa kumcha sio kufanya istiizai mbele ya Allah tutakwenda kujibu nini kesho
ReplyDelete