Wageni wakiingia nyumbani
Makunda & Fatmah
Chakula kilikuja katika style ya kimila, hivi ndivyo wafanyavyo Wahaya wakienda kutoa pole kwa wafiwa
Matoke yalipikwa kinyumbani, matamu sana!!!!
Dada Agnes Mtigazi, asante sana kwa upendo ulionyesha!!!!
Mzee Makubo akitoa neno la kuwapa pole wafiwa, pia aligusia pia katka Biblia tunahimizwa upendo na rafiki mwisho uwa ndugu!!!!!
Mzee Makubo akitoa neno la kuwapa pole wafiwa, pia aligusia pia katka Biblia tunahimizwa upendo na rafiki mwisho uwa ndugu!!!!!
Ret. Brigadier Simba akitoa shukurani kwa niaba ya familia
Msheruzi Makubo, Lydia Makubo & Fatmah Simba
Samira & Sally
Bi Masha
Alhanisa Sleyum...... malizia
Bi Saada Brazak
La' Familia
Wazee wakiongea
Tindwa hair style
Wageni wetu wakitutayarishia chakula
MADINI
NABONA OMUKULU TA KIKWESI NASHEMELELWA MUNO
ReplyDelete