SILMAL

TAFUTA KITU BLOGUNI

Loading...

THIS IS HAUSTON - COMING SOON


(United States of Nollywood?) The Nollywood machine roars on with a new movie from Nollywood, USA, – “This is Houston”. It stars one of the hottest actresses of the genre, Ini Edo, JJ Bunny, Pascal Atuma, Cynthia Masasi from Tanzania andMurphy Uka are also some of the big names attached to this much-anticipated feature. It is being releases by HD Publication and Faizer Atlantic Films and is directed by Kyle Lamar and Alister Auguste. The exciting aspect of the film is that it was conceptualized in the States.

JJ Bunny, who also stars in the film, wrote, produced and co-directed. She is one of the most talented and hardworking entertainer in the business. There will certainly be more to come from here. The movie also happens to draw most of its talents from the States. Most of the actors and actresses are US based, and most of the scenes were shot in the US. It’s a film that depicts lives of the young and the restless trying to survive in the big city against all the odds. The production value is supposed to be quite superior, putting it in a league of its own. Sounds worth checking out!
STYLE MOTO MOTO - HONORING 100 YEARS OF INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 25TH MARCH 2011 @ DOUBLE TREE BY HILTON

Baadhi ta vitu vilivyokuwa vikuuzwa kwenye style Motomoto
Amina Design Accessories Collection


FACES

kupendeza kwa kwenda mbele hakuna kuzeeka
Mariam & LucyDalila


Salama & Mwanaidi (mashostito)

Marima akifuatilia kwa makini

Shamimu

Mosi Ally - Watanzania je tunamjua huyu?? Mosi alililetea Taifa letu sifa kubwa akiwa kama mwanariadha, mashughuli blog itafanya exclusive Interview hivi karibuni

Fideline Iranga

(Right) Alma of trendsetta-tzee.blogspot.com plse visit her


Mariam

Khadija, Mama Salma Mntambo & Mariam-pendeza eeh!

Shani Center with FriendsMosi Ally, Dalila, Tutty Fruit & Joha Simba
Khadija & Mosi Ally

MOI & Halima, umeshaniona face to face?? nimepunguza kg 9! still niko kwenye diet, BMI yangu inatakiwa kuwa kg 75, bado sijafikia
After Style Motomoto to Movenpick
Mosi & Tutty with - Tanzanite Band singers

STYLE MOTO MOTO - HONORING 100 YEARS OF INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 25TH MARCH 2011 @ DOUBLE TREE BY HILTON

JE UMESHAPATA KADI YAKO YA MUALIKO?? KAMA NDIO BASI USIKOSE KESHO KUFIKA DOUBLE TREE BY HILTON ILI TUSHEREKEE MIAKA 100 YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI, WANAWAKE NJOO TUUNGANE PAMOJA KWA MAENDELEO, TINGA KIVAZI CHAKO CHA ZAMBARAU
UPENDEZEEEEEE!!

DRESSCODE: FASHIONABLE
COLOUR: PURPLE

MBUNIFU MPYA ESKADO BIRD NDANI YA STYLE MOTOMOTO - IJUMAA


Mbunifu mpya Eskada Bird akiwa na wanamitindo kwa picha zaidi tembelea

Flaviana Matata Foundation - May 21st, 2011

May 21st is always a special and very difficult day for me, my family and the families of thousands who lost their loved ones on that fateful day in 1996, when MV Bukoba sank in Lake Victoria. On that day I lost my mother, but never lost hope. I knew a day would come and will be able to cherish her memory and do something special to honor her life and the life she game me.

I am happy to announce that on May 21st, 2011 I will officially launch the FLAVIANA MATATA FOUNDATION in the honor of my beloved mother. As a former Miss Universe Tanzania, and currently, a model based in New York and Europe, I would like to use my fame to help the most vulnerable in our society… young women and kids.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION, a Tanzanian registered nonprofit organization, will give leaders in health, business, government and communities globally the opportunity to be a part of a movement that relies on participation, collaboration and action to reverse child pregnancy rates, and empowering of young women and kids and the like. I consider this to be my greatest achievement, and gives me joy to see that my mother’s memory has a chance to live forever. I hope this initiative will bring happiness and joy to many that will be touched directly and indirectly by FLAVIANA MATATA FOUNDATION. Please reserve this date (May 21st, 2011) to come and join me in the launch of this very important initiative. Venue, time, and special guests will be announced at a later stage.THANK YOU

Regards

Flaviana Matata(Lavvy)

MSIBA MSIBA MSIBA

Ina Lillahi Wa Ina Ilayhi Raajioon
(To Allah we belong and unto Him is our return)
Burian Mwanahamis Abdi Mkeyenge (Livingstone Kariakoo)
Kuzaliwa: 15/02/1962
Kufa : 17/03/2011
Burian Mwanahamisi alikuwa mke wa Khamis Ramadhani Kinye, ameacha mume na watoto wa kiume wanne Mshindo, Ramadhani, Hashim & Mwinyijumbe, mwili wa marehemu ulisaliwa katika msikiti wa mtoro kariakoo na kuzikwa makaburi magomeni.
Marehemu (Mwanahamisi Mkeyenge) enzi za uhai wake

Mwili wa marehemu ukitolewa msikiti wa muhimbili

Hawena mdogo wake marehemu akilia kwa uchungu pole mpenzi wetu ni ngumu lakini Mwenyezi Mungu akupe ujasiri


Kushoto: Mshindo - mtoto wa marehemu Mwanahamisi

Bi Saada Brazak yellow dira

Watu wote vilio

Barka ikiandaliwa
Huku jungu likiendelea kipikwa

Mwili ukitoka nyumbani, kuelekea msikitini
Sheikh. Maulid alitangaza jambo kabla ya mwili kuondoka, Abdu kassong naye majonzi makubwa mama yao!

Ndugu, jamma na marafiki wakijitayarisha kubeba mwili wa marehemu mpaka

Retd. Brigadier General S.W. Simba na Abuu Fundi

Mh. diwani Mafish
Bwana Abdallah Hashim


Hawena mdogo wake marehemu akilia kwa uchungu pole mpenzi wetu ni ngumu lakini Mwenyezi Mungu akupe ujasiri

Tatu Lumelenzi alishindwa kwa kabisa kujizuia maskini

Mwili wa marehemu ukitoka nyumbani kuelekea msikini kwa ajili ya kuswaliwa.

Mtoto wa marehemu mwenye brown Tshirt

Mtoto wa marehemu aliyeshikiwaWatu wakitawadha kwa jili ya swala msikiti wa mtoro


Mwili uko tayari kwa ajili ya kuswaliwa msikiti wa Mtoro

Right: Mh. LondaBro! Omary na kanzu ya cream

Mh. Zungu Mbunge wa Ilala
Vijana wa Tandamti/Livingstone Kariakoo hongereni kwa umoja wenu

Tayari kwa kuupokea mwili white tishirt mume wa marehemu, & Black mtoto wa marehemu

Hapa ndio mwisho wa kila kitu kama mwanadamu!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...