Bride : Salma Nyangasa
Colour : Black, White & Blue
MC : Jamila Kitimtim
Veneu : Liona Hotel – Ukumbi
Designer : Eve Collection
Entertainment : Rusha Roho
Swaga za Salma umeona pembeni RED CARPET
Salma akiingia ukumbini kwa fujo...!!!
Designer wa nguo hii ni Eve Collection
Salma na somo yake Mrs. Tamba originally wa ukwee'e
Zawadi's
Sitting Room ua ukwee'ee
Decoration
TBL zilikua za kumwaga....!!
nawatayarishieni vedeo moja muone baada ya masaa 2 tu watu walibavyobadilika..!! chezea kinywaji..!
CAKE
Suprise..!!!
niingie kwa style gani???
Picha zinaongea...!!!
Zawadi
Mama mdogo akitoa zawada kwa mkwe...!! kanzu, msuli
Mama akimkabidhi zawadi mwanaye ya Pure Leather sofa set
Kikundi cha Reeds ladies Women Group fro TBL
Redds Women Group (kikundi cha wafanyakazi TBL) Walikabidhi Gas Cooker
Shostito akikabidhi dressing table
Somo alisema yeye ameona bi harusi kajikamilisha na kila kitu, hivyo asingependa kumuongezea mizigo, alimunza cash 1,000,000/=
Bado mwari wangu subiri..zaja
Wakituza kwa raha zao!!!
Vivian akimkabidhi shosti zawadi
Kama kawa siku hizi...!!!
NYUSO's
Salma na mama mkwe..!!
RED CARPET
Vivian - pendeza shosti
Latifah Mwasha - Floor Manager
Guess Who???????????
Haya je..???
ukishapombeka..!! ujinyanyui tena..lol
No comments:
Post a Comment