PICHA ZA MAZISHI YA SALAMA MARUZUK, IJUMAA 9/12/11 MAGOMENI MZUMBE ROAD

JENEZA LA SALAMA MARUZUK LIKITOKA NYUMBANI KUELELKEA MASJID
BONYEZA KITUFE UONE KIDEO

 Mwili wa marehemu Salama ukiwa tayari 
msikitini kwa ajili ya kuswaliwa
 Makaburini
  Mh. Zungu, Maulid & Haji Sunday

  
  
Left: Mume wa marehemu Salama
Sadaka ya mwisho ya Salama,ikitayarishwa...!!
 

 Upande wa Wanawake
 

Miriam Aziz akisoma dua nilipenda zaidi..!!!
Pachanga..!!

Salma Mntambo, Fatmah & Rehema...wote manjonzi..!!
Nyota, Mariam & Salama Kessy
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. INNA LILAH POLENI SANA WAFIWA INSHALLA ALLAAH ATAWAPA MOYO WA SUBRA, KAONDOKA BADO TUNA MUHITAJI NI MWENZETU, TUMESHILIKIANA NAE MAMBO MENGI NSHALLAAH MWENYENZI MUNGU ATAMJALI KAURI THABITI AMEEN

  ReplyDelete
 2. Poleni sana wafiwa

  ReplyDelete
 3. Hili ni fundisho kwetu tunatakiwa kumcha mola cause kifo hakina hodi,bt ktk picha zako cjawaona majirani zake hawajaja?

  ReplyDelete
 4. Allah akbar hkka allah ni mjuzi wa kila jambo tusilie sana tunatakiwa tumshukuru kwa kila jambo,yy keshatangulia tuandae mema yetu ya cku ya mwisho.

  ReplyDelete
 5. Poleni sana Wafiwa na Mungu awape uvumilivu katika wakati huu Mgumu,kufiwa kunauma jamani unaweza kumkufuru Mungu yakikukuta,Mungu awasimamie.

  ReplyDelete