PATA VITU ORIGINAL TOKA MANZELLINE - The Proof of Quality..!!


Shop na Manzelline kwa msimu huu wa sikukuu, nenda ukajipatie vitu kibaoo wewe na wanao kwa bei poa..!!!
WAPO Quality Centre Mall - Pugu Road.
Piga no.:+255 713 545 666, +255 716 749 865

  Nguo za watarajiwa kwa ajili ya send-off party or kitchen party usikose..!!!


 
 Huyu anaitwa Bonge basi kama wewe ni +size usiache nenda..!!!Watoto...!! watapata vitu bomba vya sikukuu
 Lace Wig Originally toka Marekani

  Suti za ofisini, na za kule kwenye mjengoni za uhakika.Manzelline yeye anadeal na originally products only
  

Wanaume nao hawajasahaulika...!!!Accessories...!!!
Shoes..!! Original products za Victoria Secret, Body splash za ukwee, ukipaka asubuhi mpaka jioni..!! 


Kila flavour na rangi yake...!!!!
Ukinunua unapata na kibegi chake, achana na hizo zilizochakachuliwa nenda kapate original..!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. vitu vinavutia sana mi nataka kujua picha ya 6 na ya 9 hizo gauni za plus size zinaanzia shilingi ngapi,ili nikija nijipange kabisa

  ReplyDelete
 2. Nguo zao bei sio mbaya ni kuanzia laki moja na nusu na jana nimeenda nimekuta kuna sale ya kufa mtu. nunua nguo moja pata ya pili kwa nusu bei. Hakina nawakubali!!! Big Up Manzelline. Pia duka lao jingine liko Shoppers Plaza.

  ReplyDelete
 3. Nataka hizo kissable massage oil jamani!!!

  ReplyDelete
 4. suti za kike ziko bomba sanaaaaaaaaaaa zinaenda kwa bei ganiiiiiiiiiii

  ReplyDelete
 5. tunahitaji mtuonyeshe mashuka na nguo mnazouza

  ReplyDelete