Sponsor

KHITMA YA MAREHEMU SALIMA IDD SIMBA-DAR ES SALAAM

4:56:00 AM


 FAMILIA YA SIMBA WAZIRI SIMBA WANAWATANGAZIA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KESHO ALASIRI WATASOMA KHITMA YA WANAWAKE KWA AJILI YA MAMA YAO KIPENZI MAREHEMU SALMA IDD SIMBA ITAKAYOFANYIKA NYUMBANI KWAO TANDAMTI NYUMBA NO. 77. TUNAOMBA UKISOMA UJUMBE HUU UMFAHAMISHE NA MWENZIO.

WANAUME KHITMA ITASOMWA MSIKITI WA MANYEMA BAADA YA SALAT L'ISHA.


You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.