Sponsor

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un - Salama Marzouk Hatunaye Tena

3:29:00 PM

 Rafiki, mpenzi mdau wa blog yangu, kwanza amenisupport sana tokea naanzisha hii blog, amefariki usiku huu wa kuamkia tarehe 09th Dec, 2011, kuhusu maziko tutahabarishana hiyo kesho siku na tarehe - Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi  amina

You Might Also Like

3 comments

  1. Pole sana aunt pamoja na wafiwa wote. Tunamuomba Allah awape faraja ktk kipindi hiki kigumu kwenu wafiwa

    ReplyDelete
  2. JAMANI HUYU DADA AMEUGUA NINI TENA MWENYEZI MUNGU AMUONDOLE ADHABU YA KADURI AMINA KWELI MUNGU MKALI

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.