Sponsor

NAIJA WEDDING - Helen-Leigh & Roy Oshinbolu,

11:56:00 AM

Cake nzuri saaana mbona za kwao ni tofauti na zetu???
Helen-Leigh & Roy Oshinbolu, 
wamependeza sana, wako simple tu.
Ebu angaloa uso wa Hellen, utadhani hajafanya make-up  Umbea wa simu kila mahali, sasa unafunika nini??
Traditional Weddingmchezo wa pesa kwao ni zaidi? niliwahi kuhudhuria harusi ya msichana wa kitanzania/Naigerian bwana mchezo pesa huwa antunzwa bi harusi si kawaida

You Might Also Like

1 comments

  1. wana ijeria kwa miji keki mikubwa,ndio wenyewe.na make up zao,wanazipatia haswa.hawajikandiki kama sisi,na uso wao unatoka safi kabisa

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.