KITCHEN PARTY - JASMINE MBEGU

BRIDE                    :JASMINE MBEGU
COLOR:                 :WHITE LIGHT BLUE
MC::                   :JAMILA KITIMTIM
VENUE:                :MSASANI BEACH CLUB – MAKUTI HALL
DESIGNER:         :DORIS FASHION
Entertainment      :Melody Taarab Band Live


Somo na mwari


Melody Taarabu Live


Bonyeza kitufe uone huwezi kuliziba jua live..!!!


Huwezi kuliziba jua na ungo..!!, watu walikuwa viungo ukumbini...
Cake
Zawadi

twende shostito ukschukue zawadi yako...BRAND NEW HITACHI FRIDGE

Dinning Table

 Somo wa ukwee'e, Salma Mntambo..!!
Baada ya kumkabidi mwari zawadi zake, somo alimtunza wifiye Hidaya, Jitu bahari alitoka yeye na familia yake huku kila mmoja ameshika 10,000/=
Baada ya hapo alimchukua Hidaya na kwenda kumkabidhi gari...siongei sana kwani kama kusoma hujui hata picha mbunge si unamuona ndipo unapiga kura...!!!

Kama miss TZ vile... wakati akimkabidhi funguo za gari alimwambia Hidaya wifiye yangu, kipenzi cha kaka yangu nakukabidhi gari kwa makusudi sitaki uende kazini kwa mguuu...!!! piga kelele...!!


Champagne Kimora Lee...!!! akifungua champaign NYUSO...!!!
MC - Jamila Kitmtim-+255 655 374 440, 
ndani ya jumpsuit
Mama Jasmine
Somo alii

Latifa pozi nimekubali..!!
Familia
wifi alitunzwa gari babu je unayo bahati hiyo..!!

Bilal Seduction & Joha


Nargis
\\
ndugu wapendanao ndio hawa..!! Salma & Halima Mntambo

Injini ya jiji..umemuona eeh!!! anatoka kifesti ledi mtoto kariakooo mtaa wa mafia, nilipata kumuuliza vipi Bi salma inakwaje una midhahabu hivyo, wadau wanataka kujua, akajibu kwamba yeye aliridhi kisanduku cha dhahabu...subiri interview inakuja..!!

Guess Whooo????
MADINI MADINI MADINI
Sasa hivi ni msimu wa silva na siyo gold...umeona eeh..!!!
Ya ukwee'e, umeona inavyoonekana eeh!! na
 zile rusha roho hata ukipiga picha tofauti babu..!!


 Viatuz...!!!

bi harusi akichoka na virefu anweza vaa TK, kama shamimu anavyoziita, siyo lazima agagane na 6 inch hata kama kachoka..!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

6 comments:

 1. hizo gold za bi harusi si ndo alizovaa somo yake kwenye shughuli ya aza au ndo mambo ya somo azimaaaaaaaaaaaaa.

  ReplyDelete
 2. huyo somo huwa anabadilisha nguo ukumbini? maana analishwa keki na mwari wake kavaa nguo ya paple na wakati anamtunza dada wa bi harusi kavaa nguo nyingine naomba utujuze

  ReplyDelete
 3. golg za somo na kwani vibaya kubadili nguo kila m2 na raha zk upo hapo sema kmm kapendeza au vp ndicho kinachotakia au hajapendeza.

  ReplyDelete
 4. jibu unalo machoni mwako kupewa m2 v2 vya gold tangu zamani toka enzi ni v2 vya kawaida na km m2 ana kupewa v2 nijambo la kawaida tatizo liko wapi coz inajulikana ktk blog kwaiyo cyo siri.

  ReplyDelete
 5. wow....i luv tha colour,bi harusi mtarajiwa manshaallah.....n th girls rock it!

  ReplyDelete
 6. Lovely k/party, happy invited guests! The bride to be looked great! I wish her the very best in her marriage life.

  ReplyDelete