Sponsor

AQDI TYME NA JAFFAR, KINONDONI SHAMBA...

12:49:00 AM


NDOA IKIFUNGWA
Jaffar alisubiri kugunga ndoa
Jaffar akikabidhiwa Tyme na baba mzazi wa Tyme


Dua baada ya ndoa kufungwa..!!!
Umemuona Amina Mustapha, mwenye swaga za Naija!!! 
BAADA YA NDOA KUFUNGWA CHEREKO CHEREKO!!!!
Sasa namiliki mwenyewe....!!! ndio pozi ya Tyme
Tyme akimwambia mumewe I Love You...!!!
Raha isiyo kifani.....!!!


NYUSO ZA FURAHA!!!!
Amina Mustapha mama mzazi wa Tyme, swaga za Naija anafaa kabisa kuwa actress sujui kwanini Kanumba au Ray hawajamuona...!!

 Amina Mustapha, bonge la actress yaani...!!!!
  
Amina Mustapha, Jaffar, Tyme & Mama mzazi wa Abdul


 Amina Mustapha anasema k-party & Lunch ni huko Tanga barabara ya 9, nimesikia kutakuwako na Welcome Tanga hiyo ni psecial kwa ajili ya Bwana Jaffar, chezea Amina Mustapha wapi....!!!
 
 Mum & Daughter...!!!Tarehe 3 Dec 2011 mambo ya Tangaaaa...!!!

You Might Also Like

3 comments

  1. Asante kwa kazi nzuri unayoifanya. Aunty tumalizie basi picha za Azza i mean sendoff na nikaa. Tuone watoto wa mujini sie

    ReplyDelete
  2. Mh! jamani huyo bi harusi alompamba alikuwa kipofu au? Mana hiyo makeup hata haiendani na mwenyewe..nice gown

    ReplyDelete
  3. Mpambaji wa bi harusi kamwaribia uzuri wake jamani.

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.