Venue ::Chichi Hotel – Kinondoni
Bride ::Mwajuma
Colour ::Dish Dash - Rangi yoyote
MC ::Jamillah
Fatmah akiwakaribisha wageni
Bendi ya Sihana Juma ndio ilikuwa ikitupa raha
Sambamba na Faiza Mafish na yeye pia muimbaji mnzuri tena hana mipasho ya ukwee'e
Nyota pia alitupa raha!!
Hapa ni Dish Dash tu zilikuwa zikishindana
kila moja lina rangi nzuri
Mapacha Wakitunzwa
Jeni tupa kule laki tano kwa ajili
ya mapacha hasara ya pesa roho!!!
Tanti Boy - Super Star ye ukimuona kwenye
shughuli basi lazima afungue pochi..!!!
my dear zote hizo za kwako!!! ni mapenzi tu
Pendeza eeh!!
Mariam na wifiye...lol
Tahiya na Aunty yake Shumu
Bi. Mdanga hata Simba walifungwa wewe ulivaa RED tu
Faiza & Shamsa, Mdau wangu wa Muscat, nimekaribishwa kutembea shostito's lakini ngoja nijipange kwanza..!!!
Left:Faiza Mafish - ni designer mnzuri sana nashindwa kumuelezea, yeye si designer wa nguo, ni wa accessories za kinamama soon tutaona products zake hapa
Sittu Mwasi (Somo) mkuu wa madrasa style ah! ah!
MC wa ukwe'e
Matoo-umetoka shosti I like your style, full arabian
Mdau wa mashughuli blog, pendeza eeh!!!, yeye alinigusia swala la poda za usoni akaniuliza je ni camera au watu hawajui poda zinazoendana na rangi zao? hili swala nitaliongelea lkn kama ni camera ya kwako je?
Tanisa & Shumu
Mashostitos
Tahiya, Ghaife & Wahida
Rushda, Nana & Mwanaisha
Matoo & Friend
Red Carpet
Shumu
Joha Kabotoka
GUESS WHO???
Mashughuli asante kunionyesha shoaagu Mwamambo Tambaza huyo mwenye dash la zambarau na pochi ya silver siku nyingi tulipoteana, babu yake mzee Tambaza ndio alotoa jina la shule ya secondari Tambaza
ReplyDeleteShosti ahsante kwa kunikumbusha ya shule, lakini je we mwenzangu ni nani?
ReplyDeletehi!,I reаlly likе yοur writing very so much!
ReplyDeleteperсentage wе keep in touch extra apprоximatеly youг article
on AOL? I requirе an eхpert on this houѕe to sоlvе my рroblem.
May be that's you! Taking a look forward to see you.
my web page - Cheap Hotels within Portugal
Іt's amazing for me to have a web page, which is beneficial in favor of my experience. thanks admin
ReplyDeleteMy web site ... tour
I am surе thiѕ article has tоuсhed all
ReplyDeletethe internet useгs, іtѕ гeаlly reallу
nіcе articlе on buildіng up nеw ωeb site.
my web blоg :: Shanghai Accommodations Lessen Each of our Price range