AZZA MOHAMMED SEND-OFF CEREMONY

BRIDE  - AZA 
VENUE - KARIMJEE GARDENS 
STILL PICTURE - GRM PRODUCTIONS
CATERER - HAMAD MNTAMBO - +255 712781 691
DECORATION - FARZANA
ENTERTAINMENT - TANZANITE BAND LIVE

Publish Pos






Wakwe wakiingia ukumbini


Yuko wapi mchumba??
 Akatokea kijana mtanashati je 
ndio mimi?? Aza hapana..!!
 Hapaaaaaaaaaana...!!!
 Huyu ndie wangu peke yangu...!!!!
Twende tukale handsome wangu...!!!

Tanzanite Band Live.....!!



Caterer...
Hamadi  


 Kwenye meza kulikuwa na madiko madiko ya 
kumwaga ukifika waanza tafuna
Menu yake sio ya kawaida, yeye ana style yake kuku 
hawakaangi ila anajua mwenywe.. Piga simu no.


NYUSO










Mama Mzee chema...!! pendeza eeh!


Mr & Mrs Mohamed Mnondwa


Aza na mumewe mtarajiwa alipita 
kila meza kutoa shukran kwa waalikwa





Kamati
















Red Carpet
Sister with Love
Mariam Mntambo Flool Manager, mambo always ni hatari tupu...!!!

Huyu ndiye anamvisha Salma Mntambo design za Naija... inabidi tumjue zaidi, maana ni kiboko, yeye mwenyewe katokea Naija...!!!
Salma Mntambo-Injini ya Jiji, umemuona ametokaje??, umependeza sana.....!!!mie nampa a.k.a First Lady!
























Matoo & Ruksida
Happy  umetokaje shosti???


Guess Who...!!!
Kipengele hiki kina sheria zake, usiniite mie nitakuona tu kwani kinzuri chajiuza, sio aunty Hellen umeona kiatu changu?? CAMERA itakuona weye, na sio MADINI peke yake ni jinsi ulivyolipuka na kitu cha ukwee'e...!!!!













Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Bibi harusi na matron wake wamependeza mno. Hongera sana

    ReplyDelete
  2. Shughuli pambeee!!! hongereni waandazi. Watu walilipuka ile mbaya kwa kukupendeza.

    ReplyDelete
  3. I wish mine could be like this coz they are fantastic

    ReplyDelete