AZA (Nenkondo) - DADA's Party

Bride     ::Aza
Somo    ::Salma Mntambo
Rangi    ::Red, White & Pink
Picha    ::GRM Production
Venue  ::Salender Bridge NADDS Hall
Caterrer ::Ahamad Mntambo
MC          ::Kide
Blog       ::Mashughuli

Invitation Card 
Mwari & Somo

MC KIDE, WA UKWEE'E

Kazi yake ni nzuri sana, soon nitapata no yake 
ya simu mpani kazi mwanamke mwenzenu anaweza!!!

Aza akicheers na wageni waalikwa
CAKE
 Kikapu chenye matunda na mbogamboga,
uende umpikia mume Aza eeh!
Nilipenda sana kwa sabubu somo 
hakucheza mbali na mwali...lol 

Asante mama kama sio wewe mama mie sio kitu

 Big hug from daughter to mum!

 Asante mama yangu...!!

Zawadi
 Sitting Room Set

 Samsung Flat Screen

Mama alianza hivi kwa kumvisha mwanae MADINI 
 Kabati la vyombo, hii ni zawadi ya mama mzazi kwa bintiye umeona 
kabati la ukwee'e viombo je?? haswa hiyo set ya njano
 Jikoni


GARI GARI GARI.......!!!!
Aza & Salma Mntambo wakikabidhi gari kwa Amne Mnondwa aina ya Nissan Eligrand, Amne ni wifi yake Salma Mntambo, Jamani siku ya makabidhiano nitawaleteta kideo
Zawadi ya somo..!!
 
 Hii ni zawadi ya mama Amne Mnondwa kwa somo ambaye pia ni wifi yake, inaonekana 
na mama ni mpenzi wa viombo vya ukwee'e, hapa Bi Salma Mntambo 
akikabidhiwa zawadi


TUNZA & RUSHA ROHO


Somo akimtunza Mwari

 Sikuipata picha hii vinzuri lakini, Bi Salma ni hatari tupu
 Sasa hapa ni blaa, bwana wee watoto wa 
Salma mntambo kwa mauno duh!!!
Umeona eeh!!

NYUSO
Khadija & Latifa
Designer Joha Simba & Aza

Da Aza & Wajina


Mashostitos wa Ukwee'e

Amina

Mariam Floor Manager & Aza

Mariam, Floor manager alihakikisha mambo 
yote yanakwenda sawa hakai hata kidogo, na huyo pia ni somo....lool
Jamani huyu ndo aliyedesign, nguo ya Salma Mntambo, kutoka Naija

Mntambo Family, mnatisha kwa MADINI..,, umeona eeh!!
Visura, je mnajitambua???

Happy umetokaje???
MaundaBi Salma na shostito wake..!!!
Shostito Rehema, ukiona kifuani tu utajua, kweli leo nga'ri nga'riRED CARPET 
Salma Mntambo, nimepewa majina mengine na wadau a.k.a Jitu Bahari, & Injini ya Jiji wacha wee chezea yeye...!!

My baby gal
Linda & her mum 

Amina mie penda huo mshono..!!!
Hii pozi inaitwa Umeniooona????
Mwenyekiti wa kamati
Sabrina.....!! mziwanda wa Injini ya Jiji
Somo Sharrifa Kavu wa ukwee'e, hakuna aliyevunja rekodi ya sanduku mpaka hii leo..!!Happy umenoga shosti

Guess Who??
=
Vikuba unaweka popote unapotaka


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Mimi jamani sijui nisemeje yaani huyu mama Salma Mntambo nampenda sana sana,i see so much love,what i define as universal love.Huyu mama ana roho nzuri unaiona hata kabla hajakufanyia jema.

    ReplyDelete
  2. Me nmependa sn hyo hair do ya bi haruc mtarajiwa mana imekuwa tofauti sio kla ck maua2 huko kichwani, Hongera bdada

    ReplyDelete
  3. hi naiomba no ya salma mtambo ni bi hartuis mtarajiwa mm

    ReplyDelete