AMINA DESIGN BRANCH LUNCHEON PART 13/11/2011 QUALITY PLAZA, FASHONISTAAZ WAKISHOP KISTYLE ZAIDI.....!!!!!

High Quality, Original & Fashion Design from "Amina Design"
Entertainments:
Chini ya Event Organiser Khadija Mwanamboka... She is perfect!!!
wakati tukifanya shopping Amina Design alituwekea vinywaj vyepesi  na vitafunwa,

Ah! Ah! Ah! Kwasa kwasa ilikuwa nzuri sana chini ya mcheza shoo huyu!!!

DJ huyu achana naye!!!  vitu kama kawa!! 

 unshop huku unadansi nzuri eeh!!!

Huyu lazima kaishi China mmh!!!


FASHIONSTAAZ wa jiji walishop na Amina Design je uko???

Joha Simba akimpa hongera mwanae..!!


Kalos & fatmah
Amina & Hubby
Pendeza eeh!!

mchulie shosti umepoint pale pale..!!!
Lotus, hii program yote ulionekana EATV - NIRVAN
Tanisa & Amina
ng'ari ng'ari babu umetuonae eeh!!!
Fatmah, huyu si Rukia eeh!!! Fashionsta wa ukwee'e hii special for u 
Fadya & Amina

Sarah & Amina
TanisaAsia Khamsin designer

Asia Khamsin (Designer) & Joketi Fashionistaaz


JasmineFitting Room
Umeona eeh!! Vioo kila kona shurti ujiangalie pande zote bwana, halafu hivi vyumba viko kama 10 hivi hakuna foleni babu inahusu umeme foleni na fitting room pia?? chezea Amina

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

7 comments:

 1. Mashughuli ukiandika stay tuned huwa unasahau kuweka "ed" kwenye hilo neno hivyo inabakia stay tune ambayo haileti maana ile uliyokusudia. Na kwenye kiingereza hakuna stay tune bali kuna stay tuned. Samahani kama nitakuwa nimekukwaza!

  ReplyDelete
 2. Asante sana mdau wangu hujanikwaza ila umenifundisha, hskuns sliyekamilika hata siku moja, tena nimefurai kwa kuwa umenielewesha kistaarabu kwa lugha nzuri. na mimi nimejifunza.

  ReplyDelete
 3. Wow Mashughuli hii branch iko wapi?nimependa hiyo nguo amevaa Amina sijui itapatikana dukani kwake.

  ReplyDelete
 4. Iko Pugu Road Jengo la Quality Plaza, my dear vitu vya uhakika!!!

  ReplyDelete
 5. Dada Amina umependeza sana sana nguo uliyovaa nzuri. Ipo size 16 au 18.

  Hongera sana.

  ReplyDelete
 6. hongera wajina umetisha. wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbele.

  ReplyDelete
 7. hv dada mashughuli hilo duka lina nguo za maharus....

  ReplyDelete