TUJIAMINI - TUJIPENDE - TUSHIKAMANE


Mimi napenda kuongelea kuhusu mavazi kama yeye mwenyewe alivosema itakuwa ni B2A wadau wangu wa mashughuli blog wale MY PEOPLE nawaombeni twende sote tukafurahi na Shamimu itapendeza sana kama mlivyosikia ni shughuli ya wanawake 

VAZI - B2A INGIA HUMU upate idea ya je utatokaje??kwa madesigner wetu hapa bongo   ni wakati wa muafaka wa kuonyesha vazi lako. 

Hapa ni kupendeza kwa kwenda mbele haijalishi umri, mnene au mwembamba tutabanana humo humo!!!

Mashughuli blog nasi tutakuwa pamoja katika kusherekea, wadau wangu wote ambao mtakwenda tafadhali soma hapo chini ili hufahamu jinsi ya kupata tiketi yako!!!


.NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE VIP,SIKU YA JUMAPILI YA TAREHE 30 

OCTOBER kuanzia saa 5 asubuhi hadi 1 usiku
 

ITAKUWA NI YA WANAWAKE PEKEE NA KIINGILIO NI SHILINGI 30,000/=
AMBAPO TIKETI ZITAUZWA KWA MEZA YA WATU KUMI 
(RAHA YA SHUGHULI UKAE NA SHOGAZO EEEE SHOST KWA HIYO MKUSANYANE KUMI ILI TWENDE SAWA.

NA PIA KAMA UKO PEKE YAKO PIA BOOK TIKETI YAKO .

ITAANZA MCHANA AMBAKO UTAPATA LUNCH NA VIVYWAJI PAMOJAAA NA KINYWAJI MURUA(SPECIAL FOR LADIES) UTAONJA SIKU IYOO USHAKUNYWA KINYWAJI NA CAKE AU KINYWAJI NA KAHAWA WEYEEE.....BASI UTAKINYWA KWENYE 8020 FASHIONS ANNIVERSARY.

DRESS CODE:: NI B2A & AFRICAN TOUCH (KITENGE,BAZEE,KANGA VINAHUSU hata uvae kizungu ila tupia accesories za B2A)

 (2taoneshana humu humu nawe mdau ukiona picha la swagga izo usisite nitupia via shamyomy@yahoo.com )


TUJIAMINI - TUJIPENDE - TUSHIKAMANE


Ukipenda hata nywele zako zaweza kuwa B2A
  
 TUJIAMINI - TUJIPENDE - TUSHIKAMANE

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment