UTATOKAJE RED RIBBON FASHION GALA?? KIVAZI CHENYE RED KIWEKE TAYARI!!!!

 Niliongea na mdau mmoja akaniuliza kuhusu Red Ribbon Fashion Gala ni lazima uvae full red kuanzia chini mpaka juu, nikamjibu hapana unaweza kuvaa hivyo ukipenda au unavaa then vitupio vyako viwe nyekundu!!, tiketi zinapatika, meza watu kumi, mambo kama yale....!!! usikose mdau na sisi mashughuli tuna meza yetu mdau piga simu useme meza ya mashughuli mdau tuwe sote pamoja inanogaje?? Mimi na "MY PEOPLE" tutakuwepo, wewe unaeumia roho nikisema "my people" utaumia sana  maana sina mpango wa kuliacha hili neno.Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment