SHEREHE ZA MIAKA 5 YA 8020 FASHION'S BLOGSPOTMeza yangu na my people!!!!

 Mrs. Dawood mdau wa mashughuli Shamimu alizndua label yake ya B2A na kuhawakaribisha designers mbalimbali wapeleke kazi zao, na kama ataridhika nazo ndipo watafanykazi pamoja "I am not a designer but I'm the owner of B2A label"

Shamimu akimkaribisha mgeni rasmi


Hii ndio cake ya 8020 Fashion's Blog

Burudani toka Linnah & Isha Mashauzi Taarab Band

Umati ulifurika Diamond, hii ni kuonyesha upendo

Watu Mbalimbali Waliopata Vyeti vya shukurani toka 8020 Fashion's BlogspotWaalikwa tukipata chaluka cha mchana caterrer ni yule yule Mariam Twahir au Talma Caterer , Chakula kilikuwa kitamu kupita maelezo
Bertha Makilagi - 2nd left dogo langu

Mboni & Hawa
Right:Nancy-pendeza shosti umetoka kimama afrika
FACESGhaife,Sharifa & Hellen
Joha, Hafsa & Nuru
Mafashionista: Halima, Jasmine & Amina Designs 
Tahiya & friends, Alliyah umemuona mwanao??
Mwajuma, Ghaife & Tahiya
Watu eeh!! palinogaje? kila mtu amependeza
umetuona??

Joha & shostito wake!
Tanisa & Shumu
Sophia, Halima, Sharifa &MwanakomboPendeza eeh!!!
Annette Ashura Kawawa
Joha Simba 
Jacklin Woolper, mie huyu ananivutia sana kwa swaga za kivyake vyake sio kuiga hapana wao ndio wamuige yeye!!! gud!

Mwavita, Kisa (the upcoming designer) & friend!
Khadija Mwanamboka & Mwavita, si mnakumbuka event
 ya Khadija 1st Dec, book yr ticket now!!!


Miriam Azizi & Pamela, mlipendezaje?? funika ile mbaya!!!
Ray K & Ashura
Hivi ndivyo inavyotakiwa shughuli yako halafu wewe unafunika!! Shamimu ulipendeza sana!! kwangu mimi wewe ulikuwa no 1Vero my dear hatukuonana?? wa kwanza kushoto


Miriam & Joha Simba, kwa wale mliopenda nguo ya Joha, yeye mwenyewe ni designer nos zake ni +255 784/713 612 954
Amina Design 
Nuru Mwene
Ashley & Mwajuma, mtu na somo yake jamani
Asia Khamsin Designer mkongwe tokea enzi zile tunafanya modelling kwi kwi sina hamu!
Tahiya, Ash;ey & Friend

Tahiya & Brenda
Rehema & Asia
Jasmine, Halima & Amina


Ilikuwa pozi kwa kwenda mbele, kwani jana kulikwa hakuna wale watu, mie sitaki picha unatoa bloguni??? hapana futaHalima
Sharifa


Sisters

//

GUESS WHO??
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. Hongera sana Shamim watu wote wamependeza lkn Zeze kafunika ile mbaya, Isha mashauzi ana vituko sasa zile nywele ndo kazifanyaje usuper star kazi jamani looo kaniacha hoi anyway big upp sana kwa Zeze na wengine muige mfano wake. Salam from STOCKHOLM SWEDEN.

  ReplyDelete
 2. kwakweli watu wamependeza sana na vazi la kiafrika tujivunie uafrika wetu.hao waliovaa vimini kwakweli walikuwa out of the place.safi sana shamim mungu akufanyie wepesi ufanye zaidi yahayo.

  ReplyDelete
 3. Jamani hongereni sana mlipendeza mno kupita maelezo!!!

  ReplyDelete
 4. hongera sana Shamim na Hellen asante sana kwa picha nzuri. Watu wamependeza mnooooo. Marcellina

  ReplyDelete
 5. kwakweli wanawake wapo juu.mmeoendezajeeeeeeeeeee!

  ReplyDelete