Birthday ya Haitham Musa Masharubu & Uhaila Seif Wazir - Wajukuu wa Salma Mntambo

Yalianza Maulid lakini kutokana na sababu ziko nje ya uwezo wangu sikuweza kupiga picha za maulid, baada ya lunch Haitham & Uhaila walikata cake zao, nenda na picha upate habari kamili....!!! chezea Salma weye!!

Jamani Hitham a.k.a BONGE hana pozi za nguvu


 Umemcheki?Baada ya  watoto kukata cake kulikuwa na Baikoko ya Super Maya!! na sie wazazi tufurahi, sherehe ya mwana lazima tucheze, baada ya shibe ya birian na kuku, kama unamvyomjua Salma Mntambo mambo yake kuku ushinde mwenyewe

Super Maya akilamba manoti toka kwa Salma Mntambo, vipi Maya ulikuwa umjui nini?

Baikoko inavyonogaga
Wee umeniona?
Mama Ngoda weee bado humoooo ile mbaya
Nani zaidi??
Mie mpaka chini, halafu nakaa kama nusu saa hivi!!!!


Mwanahamisi Chamung'anda aliwatunza familia ya mama salma mntambo, si unona huo mstari wote walitunzwa

Mama Mwanahamisi akigawa madira

Mama mdogo akipewa yake

Latifah, nakuona na ya kwako
Khadija
Samira
Mama Salma Mntambo, akicheza kwa furaha!!
Hao wana familia wakirudi na tunzo zao toka kwa mama Mwanahamisi Chamunganda

Mashughuli Faces

Khadija umemuona dada yako???!!!


Jasmine & Friend

Rehema, mama yake Haitham Birthday Girl
Bahi jicho hilo, unatisha 
Salma & Miriam
Hasina & mke mwenza
Hasina Wage
Katte & shostito
Mama Mwanahamisi Chamung'anda uko juu
Hasina Kawawa, Salma Mntambo & Mwanahamisi
Huyu ndiye Salma mwenye jina lake
Kaka pozi

La Familia


Mama Ngoda


Mama mdogo, Rehema & friend

Bahi, Hasina, Tindwa & Salma Mntambo
Tindwa & Bahi

Pozi nzuri
Tindwa & Mariam
Kwa raha zao na mama
Ilikuwa ni vikopo tu kwa Salma, hakuna silaha za kuumizana
RED CaRpEt
guess who??????
 Huyo ni PRADA Originally, je saa???
Guu la ukwee'e na kiatu chake!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

  1. salam alaikum duh jamani sikuhizi sherehe ya kuzaliwa mtoto mpak baikoko jamani hata mafundisho yeyote hayana mnapofikiria kufanya shuhuli angalieni jamani kweli tunaonekana sie waswahili hatuna cha kufanya mtaishia nyumba za msajili na sherehe za hazina maana mwekezee mtoto aje kusoma vzr tusiwatie watoto husda utakuta ata hakika ujamfanyia lakini unafanya masherehe haya ya kutunzana kama zipo jengeni shule au madrasa au msikiti wa familia ndio tutaona mmefanya nini hii aibu tupu fikiria kabla ya kufanya napenda kusia nafsi yangu na yawezangu tumche allah kwanza usibanie pls kwani nawe ni mwana familia,

    ReplyDelete
  2. Kuna watu wanapenda shughuli jamani hata birthday za watoto mnazikatia viono na madera + by coco?!

    ReplyDelete
  3. umebania comet yangu alaa kumbe imekuchoma,

    ReplyDelete