Sponsor

Kitchen Party ya Shuffaa, Binti wa Mbunge wa viti maalum Tanga - Mh. Shaymaa

5:46:00 AM

Mama na Mwana
Somo - Rehema
Shufaa akiduarika na wageni waalikwa
Moshi Kondo, Zahra Kassongo & Joha Simba

Waziri wa maendeleo jinsia na wanawake Mh. Sophia Simba akiingia ukumbini


Suprise Mume ndani ya ukumbiKhadija Yusuf toka Jahazi aliwakilisha na kibao chake cha "Nilijua mtasema"

Joha Simba, Dotto, Dotto
Kinamama na waziri wao, Mh. Sophia Simba


Sharrifa & Salama
Mama na mwana: Mwanne Mchemba (mbuge mstaafu 2001-2010 viti maalum Tabora) & Khadija
Left: Ummy Ally Mwalimu-Naibu waziri-Community Dev. Gender & Children na waheshimiwa ambao majina yao hayakuweza kupatikana & Joha Simba


Mashostito Dotto's
Zawadi ya Shuffaa kwa wageni
ndani yake kulikuwa na Hina, Manjano, Liwa & udiMe & Khadija
You Might Also Like

1 comments

  1. picha nzuri ila leo aunt umetubania umeweka chache jamani, au ni mie nimenogewa mpaka naona hazitoshi...thanks for the good work and all the best to Shufaa she's absolutely stunning

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.