HITMA YA MINA, WASHINGTON DC

Marehemu Mina
Ghaife na  Shemeji yake Mayor Malima
Left: Dalilah mtoto wa Ghaife, Mbwana Amaya Sabrina & Leila mtoto wa marehemu Mina
Ghaife, Mbwana Amaya Sabrina & Omby Nyongole

Saudath Juma, Ghaife & Mama mzazi wa marehemu Mina

Moshie Baghdellah, Mr & Mrs Frisch
Ghaife na dada wa marehemu Nuia
Ghaife, Saudath, Abdulghamid & Moshie Baghdelah
Watanzania wakiwa pamoja
Moshie Baghdelah & Mama mzazi wa marehemu
Ghaife akiwa na shoga yake kipenzi Moshie Bagdellah, 
Happy umeona hii si TZ hata za huko nazipata

Saudath, Ghaife, Asia Khamsin & Moshie Baghdellah

 Amini Dorrah& Abdulhamid Baghdellah
Mtoto aliyebebwa hapo kati naye pia ni mtoto wa Marehemu Mina, ameacha watoto 2 wa kike, Mwenyezi ailaze roho yake mahala pema peponi-Amina


Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment