HII KITCHEN PARTY SIJUI JINA LA BI HARUSI LAKINI WADAU WANGU WALINIITA NIWARUSHE
MASHUGHULI FACES
Hawa ndio walioniita niwarushe wadau wangu wewe mwenye roho ya korosho utishia kukunja uso kwa roho mbaya yako mpaka unaonekana mzee!!! chezea sisi hakuna lolote hatumjali mtu kwa raha zetu!!!!


RED CARPET

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

 1. Hi mama mashughuli,
  Za mihangaiko bi shosti. Mimi ninaandaa shughuli yangu hivi karibuni ningependa kujua bei ya kukodisha red carpet kama unajua. Kama utaweza kunisaidia kwa hilo naomba uniandikia kwenye hii email:
  kisura.mrembo@gmail.com

  Asante shoga

  ReplyDelete
 2. blog naipenda ila watanzania makeupp mmmh na mambo ya kujichubua sijui wataacha lini

  ReplyDelete