Sponsor

EXCLUSIVE! INI EDO OFFICIALLY LAUNCHED AS NEW BRAND AMBASSASDOR OF NOBLE HAIR!

11:32:00 AM

Njia nzuri ya mafanikio inaendelea kumuwakia muugizaji wa kike wa Naija Ini Edo, leo ametangazwa rasmi kuwa picha yake ndio itatumika katika kampuni ya kutengeneza nywele ya NOBLE HAIR, ambayo, mimi kama Mtanzania ningependa kuona kampuni zetu za nywele na vipodozi zinawatumia wasanii wakubwa wa hapa hapa nchini ili tuweze kuwaendeleza kimafanikio.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.