SINGO YA MAYASA SEIF SIMBA, UPANGA

Mwali akiingizwa ukumbini baada ya kusingwa na ndio maana inaitwa "singo"
 Soma aliingia na wanawari wake aliowafunda, Mariam Mntambo 

Punch ya ukwee, itatengenezwa nyingi kweny K-party hapo kesho!!!, mtengenzaji yupo anatokea Kempiski hotel
 Somo na Mwali
Mwali akionesha ujuzi aliopewa na somo yake na manyakanga kina Joha Simba - hiyo inaitwa "Mkuno wa Nazi" kiupande upande"
 Somo wa ukwee Dalila Jagari naye akionyesha ujuzi wake!!! naona hii ni ya kwasa kwasa style
Somo very felxible, hii hatari
 Mariam
 Salma Mntambo
Da Sharrifa & Maimuna Bayu
Rehema


Mashostito wa ukwee, Saida Thabit, Mwanaidi & Salama 
 My Best Friend Ever - Tahiya Dawood (Mrs) Mtajibeba!!!
Kei asante ndg yangu kwa yr support, jamani hii familia wanaupendo sana, I thank God to meet people like this!!!


 Hajary Mohamed Kihago

 Sharrifa

Hawa & Hajary
La Familia
 Amina Design & Joha Simba - Fashion Designer 
 Dalilah & Khadija
 Zainabu Simba  & Friend
 Baby
 Sihaba & friend
 Fashionista!!

 Somo na Mwali, Dash Dash za Ukwee'e

 Tahiya & Saida
 Kihago's

  
Somo akimuondoa mwali wake!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. watu wamependeza sana! mimi nilikuwa nashida kidogo, nauliza kama nataka kufundishwa hayo mambo ya nyonga nilikwisha olewa, naweza nikampata mtu wa kunifundisha na ni bei gani?

    ReplyDelete
  2. picha nzuri sana na watu wamependeza mno. lakini advise ya bure hao walio vaa contact lense please choose rangi ya kuendana na wewe sio tu uvae any colour then inaonekana awkward free advise otherwise bomba.

    ReplyDelete