SINGO YA ADYA - CHICHI HOTEL 23 Sept, 2011


 Vilitangulia Mirashi ya ukweee'e nakuaminia somo
Somo Mariam Twahir akimuingiza mwali wake Adya ukumbini 
 
Somo msaidizi Mariam Mkweche akiwa na Adya
 Baada ya Adya kuingia ndani masomo wasaidizi waliingia na mito size mbalimbali na zawadi za mwali, hii ni mpya ilipendezaje? we acha tu
 
 Kulikuwa na urojo, uncle Yahya akiwahudumia wageni, chezea yeye leo ya kwake mwenyewe, chakula kilipikwa na TALMA caterer, ukitaka urojo kwenye shughuli kitchen party au singo piga no.: +255 784 830 030


Sasambu Sasambu


 sanduku la ukweee, umemuona Elizabeth Arden hapo???
 Masomo Mariam & Mariam na mwali wao

Msosi - TALMA Caterer  CHEZA CHEZA
Entertainment 

Sihaba Juma Live Taarab Band

Baikoko - Super Maya

Kiuno bila mfupa!!

NYUSOHalima Kamusi - Director of HK's Impression Saloon, Stay tune on mashughuli blog tutakuletea services provided by HK's Impression Saloon, Location & wafanyakazi waliobobea kwenye maswala ya Pedicure & Manicure, kuweka Nyusi, weaving, make-up artist wenye vyeti vyao etc. si unamjua mwenyewe anavyopendezaga na kujipenda??? basi hana choyo tupendeze sote!!! mie naitaka hiyo nywele.....lol

Salma from Dubai

 Masomo Mariam & Mariam na mwali wao

Sharrifa Hashim & Salama Kessy

Mwandawa leo Man Alone Kwi kwi
Bi Sihaba pendeza na pozi hiloRED Carpet
Mwali na Somo

Mariam Twahir na mkwe wake

 Designer wa nguo hii Joha Simba Abdallah
Designer Bahiya, +255 713 233 362
MOI-Pendeza eeh!!! Designer Joha Simba Abdallah, hapa nilifunika nakuaminia asilimia 100% , ongea naye basi akutoleee vitu vikali +255 715 612965 or +255 784 612954, maana tulitoka kivyetu hatufanani na mtu, Salma Kessy nimefanya kama ulivyotaka shosti kubwaaaa!!!Designer wa nguo hii Joha Simba Abdallah

Chezea yeye mama wa mapochi, pendeza eeh!!, piga 
+255 715 432 289

HAWENA
Dalila Pozi ya ukwee'e
P
Designer Bahiya, +255 713 233 362
Bi Mdanga weee pozi usiseme

Uncles!!!
Stay tune kwa mapicha kibao yanakujia!!!

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. dear mashuguli, how do i communicate with u directly and in a private....can i have your email address...thanx in advance!

    ReplyDelete
  2. Mdau ambaye unataka kutoa comments zako private use this email address mashughuli@gmail.com

    ReplyDelete
  3. hongereni maana mhadar bwana kuna wasiozeeka jamani harusi ni dili naomba uelezee kidoga maana ya singo wengine ni washamba

    ReplyDelete