Mayasa Kitchen Party - Nadds Hall


Kama Naija???


Mayasa's Cake


Mayasa aliwashukuru watu wote kwa kuweka Cake thank you, zenye rangi tofauti, zilikuwa tamu sana, jamani huyu mpika cake ni mnzuri sana lakini watu wote mnakwenda kwa mtu mmoja tu, tuwaunge mkono na wengine pia jina lake ni Jully. ukimhitaji kwenye shughuli plse call me

Msosi

 Cutless & kuku
 Chinese Rice & Beef Roast
 Ndizi Mbivu za Nazi na Cutless za samaki

Vyakula vya ukwee'e haya mambo haya yote ni Yahaya, ukimuhitaji huyu Caterer piga simu no 0655-426100, sijui jumapili itakuwajee?? kwenye shughuli yake, chungulia kijuwe kwa picha zijazo.

Bibi & Mama wakiingia ukumbini, mimi na rafiki yangu sophia tukiwakaribisha wazazi wetu
Mayasa akiingizwa ukumbini na dada zake "Blueberry"
Nderemo Mayasa akiingia ukumbini

Hawa, nakuona mdogo wangu pendeza ile mbaya, raha ya kupendwa babu

Entertainment
Live Taarabu Band from Zanzibar, Bi Sihaba Juma 


Mayasa akikata Cake yake!!!!


 Asante mama kwa upendo

Bibi's
Shangazi Bishara uko juuuuu mie nakupenda sana!!! Mama mdogo Sophia

MOI -Thanks Aunty Hellen

Zawadi & Tunza

Mama na dada zake wakienda na sanduku la mama

Umecheki Hina?

Somo wa ukwe'ee akienda kutoa zawadi ya kabati na vyombo

 Asante somo yangu kwa kunipa zawadi na ujuzi


 Mariam na wadogo zake wakitoa shoo ya nguvu!!
 Somo akitoa neno la nasaha kwa mwali

Mama Salma akimfuta jasho mwanaye

 Umeona??? usije ukasema napamba sana hapana ni $$$$$
Sanduku la MOI-umewaona MY PEOPLE???

My sis Shuffar uko juuuuu waambie cheza hangine!!!  tuliingia na mdomo nyumba ya maneno, nilijua mtasema semeni....!!!!!
Joha akitoa maua na kumkabidhi somo

MOI & MY PEOPLE, Oyeeeeh nawakubali 100%

Ntunzwa na mie lol....!!!


My sister Joha, nitunze....lol

Mrs. Dawood tupa kule 200,000 kwa ajili ya shostito

Salama hina ndio naiona saa hizi, bab kubwa!!!!


Thanks Miriam Aziz

Kama kawaida yake Saida mama wa China , hafanyi kwa sifa ni mambo ya fedha tu, we kama huna tulia tuli tuachie sisi.

Kwanza alianza na pesa taslim 100,000/= baadaye kanifunika tenge la ukwee'e
Tamba shistito Salama, thank you for yr support
Dalila mie penda wewe umenitunza dada yangu thanks
Sophia akitunzwa
shosti unatunzwa na nne?? ah! ah!
  
Nyuso
Saida & Bahiya designer wa ukwee'e, ulifunika ndugu yangu
BlueBerry Girls
Hawa & Asha (dadaz)Hawa & Mala
Bibi akifurahi Alahamdulilai nimeona harusi ya
mjukuu wangu!!!
Sharrifa & Hawa

Shangazi Bishara & Bibi khalid


Maimuna Abebe & Friend
Kaundime centre & nduguzi


Catherine, MOI & Shostito Siah Kisanji wa ukwee, mama wa kujipenda nimetoka naye mbali tokea container haya yako wapi walee mafisadi wa kufitinisha leo niko naye sambamba nyuso zimewashuka na lazima mbonyeze kitufe, mtaisoma kimya kimya asante mpenzi wangu kwa kunisapport.

MOI & my people MC, Mfundaji anacheza kama pele "Dalila Jaggari wa ukwee'e, 
My people - Rehema, Salama & Sherry
Blueberry
Bishara & Bishara
Bishara, Halima Kamusi & halima
Mariam, Lulu & Samira pendeza eeh!!
Shani, Sihaba & Friend


Miriam Aziz & Twaiba
Shuffar, Natasha & 
Mariam & Friend
Dalila & Khadija
Catherine, Siah Kisanji & Dalila
Khadija & Friend
Salma Mntambo production - wanzuri eeh!

Muhaza & Bishara
Asha & Zubeda (Mama mzaa chema)
Joha & Mwanaidi
MOI 7 my people - Joha, Mwanaidi & Nunu Sagaaf
MOI-Nunu Sagaaf & July Pinda
MOI-Dalila & Alhanisa

MOI - Tahiya, Amonah & Kei

MOI-Mwajey & Joha
MOI & Mwadawa

Muhaza, Zubeda & Sharifa
Tanga line hiyo, cheza hangine hangu hagumu
Jasmine, Sabrina & 
Tahiya & Amonah
Bahiya, Saida & Mwanaidi

  Miriam & Maimuna (best friends)PASIPOTI SAIZI

 
Saida

MOI-Alyah umeniona?? Al-Arabia??? watajibeba!!!!

Jicho babu umejaaliwa!!!

Salma Mntambo, mie nalia na hiyo lace material!!!


RED Carpet
Ni mambo ya Slimming Coffee sasa nina kg 78 from 98?? 


Guess Who??
hin
 Maimuna Abebe
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

2 comments:

  1. nimempenda bi,saida thabit,if u dont mind please mpatie namba hii yangu 616 635 9725 anaweza kunipa hata missed call,i'll call back or even a text!i just wanna talk to her,si kwa ubaya abadan,bali katika nia njema,then atayapima maongezi yangu kama yanafaa,my e mail:ruttajunior@yahoo.com

    Thanx

    ReplyDelete
  2. KITCHEN PARTY YAONEKANA ILIKUWA NZURI ILA JAMANI HIZI POWDER WATU WANAZOPAKA WENGI WAO SIJAPENDA. KUNA WANAOPAKA RANGI SI YAO SASA WANAKUWA KA WACHEZA NGOMA KHAA..HII SECTION YA PODA WABONGO INATUTIA AIBU JAMANI.

    ReplyDelete