Kitchen Party ya Khadija Salehe Chaka -25-09-2011

Venue     ::Vijana Social Hall – Kinondoni
Bride       ::Khadija
Colour     ::Purple, Green & Pink
Designer ::Bahiya Lumelezi - +255 713 233 362
MC           ::Grace
Decoration :: Princess Latifah
Caterer :: Princess Latifah
Cake :: Princess Latifah
Mapambo yalifanywa na Princess Latifa

Khadija Salehe ChakaKhadija alirusha roho kwa raha zote
Hapa ndipo aliponifurahisha Khadija ee bwana wee anarusha roho ile mbaya!!! umecheki mikono

Zawadi za Khadija
 Sitting Room iliyokamilika na flat screen


Bedroom set 
Coffee Table

Cake
Khadija alikata cake na kuwalisha wana familia wachache
Mama mzaa chema akipeleka zawadi yake kwa mwanaye

Tenga lilikuja na zawadi, imekaa vinzuri ubunifu
Kapu la mama kwa mwanaye
Mrs. Madenge akitambaa kwa furaha
Mrs. Madenge (mama mkubwa) alimkabidhi kitanda na kabati, mwanaye 

Khadija akimsubiri somo kwa magoti ili apokee zawadi zake

Masomo wasindikizaji wakiingia na vitu mbalimbali

Twende mwali wangu nikakabidhi dinning table
Juu ya meza kulikuwa na cake, walikata na kulishana

 Sharrifa, akimkabidhi wifiye Fridge

Shariffa na mashostito waliomsindikiza


Khadija akijadai mbele ya wifiye, Sharrifa alifungua fridge na kupata Red Bull
Fridge ilikuwa kama hivi

Khadija akikabidhiwa dressing table

Khadija alitoa zawadi ya vitenge kwa mama, mama mkubwa na mama mkwe matarajiwa

Khadija akimtunza somo yake Husna Madenge


Shariifa alimtunza wifi yake Khadija


Tanisa akimtunza shostito Husna mapesa 200,000/=


NYUSO
Husna Madenge na Shaoga yake MwajumaMama mzaa chema Tanisa Mwaibula, pendeza mdogo wangu ndoa tamu???

Eshe Mashauzi ndani ya nyumba, hii ilikuwa zawadi kwa bi harusi, kama kawaida Isha aliburudisha vya kutosha, 

bi mwene
Husna na Wifiye Sharrifa

RED CARPET
Mamito Madenge
Sharrifa
Husna Madenge
Shostito Halima - mdau wangu wa TANESCO uko juu


Tanti Boy alimtunza Husna, kwa bahati mbaya sikupata picha


Niliambiwa huyu ndio Tina Turner wa TZ


guess who?
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

8 comments:

 1. Jamani hawajamtendea haki bi harusi nguo ina rangi nyingi sana. Dar kuna watu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 2. kwakweli nguo ya bi harusi ni mbaya sana hakupendeza kabisa designer kachemsha.nguo ina rangi nyingi kama chrismass tree .otherwise mambo mengine safi naomba namba ya simu ya mpmbaji wa hall.

  ReplyDelete
 3. Shughuli nzuri inaonekana ilifana ila jamani hizo make-up za watu ndo kimbembe, washauri wapunguze poda jamani wanaharibu picha za mwenzao!!

  ReplyDelete
 4. mmh! now i know, watu wengi kumbe hawajui kutumia makeups..wengine wanatumia ambazo sio rangi zao kabisa na poda juu yaani mpaka wanatoka vibaya kwenye picha.. jamani less is more kwenye swala la vipodozi na sio lazima uweke shado za rangi zoote zilizo kwenye nguo uliovaa..
  mama lulu.

  ReplyDelete
 5. jamani kachukiza huyu bibi harusi sijui hakuwa na wapambe? mashughuli ungesaidia kitu

  ReplyDelete
 6. Mpambaji amepamba vizuri ila usafi kwake ninampa maksi 0, hebu angalia hiyo red kapeti ilivyo chafu, ukumbi hakufagia sijui kwanini lakini kawafanyia wenziwe hivyo kwenye shughuli yao huku wamemlipa pesa.

  Kuna kitchen party niliendaga ya mdogo wa rafiki yangu yaani mpambaji alichelewa kupamba, wageni wanaingia yeye anaendelea kupamba, pale mbele palikuwa pachafu ilibidi nichukue ufagio nifagie.

  Mashughuli naomba ufikishe ujumbe huu kwa wapambaji "Jameni heshimuni kazi zenu, huo ukumbi ndio ofisi yako, na sisi tunauona humu kwenye blogu. Mpambaji kama huyo kamwe siwezi kumuita kwenye shughuli yangu, badilikeni". Na jumuia ya Afrika Mashariki hiyo inakuja watakuja wapambaji kutoka Kenya wanajua kusaka pesa, wako tayari hata kufagia ukumbi kila saa!

  ReplyDelete
 7. MH! MAKE UP JAMAN imehalibu sura za wa2

  ReplyDelete
 8. Bi harusi naye anaonekana ni mshamba, mana naamini kabisa hiyo nguo na rangi zake alichagua mwenyeweeeeee. Hakika amechukiza

  ReplyDelete