Sponsor

Inna Lilahi Waina Ilaihi Rajioun - Mina Said Omari

3:26:00 AM


Prof. Ali Mtanda na Mama Zam Zam Maalim Rashid, wanawataarifu msiba wa mtoto wao mpendwa, Mina Said Omari, uliotokea Jumatano Sept 21, 2011, Saa nne usiku Fredrick Memorial hospital

Maziko Ijumaa Sept 23 baada ya swala ya Ijumaa saa 6 mchana

Hitma
Jumapili 25-09-2011 Tabeer Restaurant 1401 Unvesity BLVD


You Might Also Like

1 comments

  1. jamani kuna mama ajitupia mtandiko mweupe yaani amejisiba ma mapodo mengi yaani anatisha jamani hana hata rafiki wa kumwambia jamani mbona wanawake sisi hatupendani tuambianeni ukweli jamani kuliko kuchoreka loh!!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.