ADYA SEND OFF PARTY AT MSIMBAZI CENTRE - ILALA

BRIDE::ADYA 
VENUE::MSIMBAZI CENTRE-ILALA 
COLOR::BLUE & WHITE
 Designer::BAHIYA LUMELEZI - +255 713 233  362
Caterer:: Mariam Twahir - +255 784 830 030 












ADYA akiingia ukumbini




Dadaz!!
MOI & ADYA
Rose & Shosti


IMU-Pendeza eeh!
Umeona Mapozi??/
Yahya, Bahiya & Friend, jamani huyu Aunty namjua kabisa jina lake lakini nimesahau 
Jeni - Dada yake Adya


Somo Marima Twahiri Mama wa mapishi ya ukwee'e, pendeza umeona lace materila za ukwee na ashok?
Mariam Mkweche, Pendeza leo umetoka kithungu, nguo nzuri sana na kiatu cha ukwee'e sijui kwa nini sikukupiga FULL
My Cousine - Catherine Africa Temu, mama wa handbag za ukwee'e kinondoni, manyanya mtembelee
  


 Bibi yake khadija & mdogo wake khadija-very intellegent gal

Adya & Shostito wake
 Model- wabunifu mpeni kazi jamani atangaze!!!



Kushangaa mwisho mara moja, mjini hapa!!



Adya, Mum & Dad na mjukuu wao
Adya na Somo




MOI-Adya & uncle Yahya

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

3 comments:

  1. Shughuli imependeza sana. Ila naomba uwe unawashauri watu kuhusu make up jamani lol wengine utafikiri wamepaka jivu na wengine rangi ya blue sijui purple usoni, Ona wewe ulivyopendeza haka babu kisa cha kuchuruzikwa na mapoda yasiyoeleweka ni nini? Pia nakuomba usiwe unanyoosha shingo wakati wa kupiga picha unapendeza zaidi usiponyoosha shingo. jane

    ReplyDelete
  2. Hao ma maids khaaaaaaaaaaaaaa, huo uso. tabasamu kidogo shosti

    ReplyDelete
  3. ukweli bi harusi nguo nzuri, lakini haujapendeza hata kidogo sababu ya hizo makeup. hivi hukujiangalia kwenye kioo? au ndiyo masharti ya msaada, aliyejitolea kukulipia mapambo anataka uwe atakavyo yeye? Hata mashostito wako hawajapendeza mnaboa najuta kuwaangalia.

    ReplyDelete