ADYA KITCHEN PARTY POLICE OFFICERS MESS

BRIDE::ADYA
VENUE::POLICE OFFICERS MESS
MC::JAMILAH KITMTIM
COLOR::GREEN & BROWN
CATERER:: TALMA CATERING (Mariam Twahir - 0784-830030 Somo)
DECORATION:: YAHYA
Designer:: Bahiya Lumelezi – 0713-233362


ADYANgoja niongee kidogo kuhusu designer wa hii anavyosema yeye, hilo sio jani bichi jamani ni mambo ya kudesign tu, anasema ni Jani la mtondoo haufi maji, kwa wzungu wanaiita water lilly ni hii special kwa bi Lilly, atleast sasa tutoke kwenye mikia imezidi, wabunifu wengine tubadilike at least nguo za kitchen party ziwa za kiafrika tu, then kwenye send-off na vitu vingine bi harusi avae hizo za western, kuna section mpya inakuja hapa mashughuli ni Maongezi tu tupeana mawazo na kila mtu atapata nafasi ya kuchangia


The one & only JK
wana kamati wakiingia ukumbini

ZAWADI
Zawadi ya Mama mzaa chema BED ROOM SET, kwa bahati mbaya sikupata picha ya kabati likiwa limefunguliwa, lilikuwa limejaa kabisa, naona kama sanduku linaanza kupotea show ya siku hizi ni kabati likifunguliwa linatosha, sasambua nayo inamaaliza muda watu hatuchezi, mnaleta Jahazi Taarab Bend, kusasmbua masaa matano kila mtu hana sanduku hanataka lisasambuliwe


BED ROOM SET

Zawadi ya dada


Zawadi ya Somo, yeye alimpa vitu vya jikoni tu lakini vya ukwee'e ukizingatia Mariam Twahir yeye mwenye ni mpishi basi Adya umekamilika!!!


 Hii niliipenda sana ni kabti la jikoni,. kwa nyumba za kupanga inafaa sana unahama nalo halisumbui

 


Mariam Twahiri akimkabidhi mwali wake zawadi zake, jamani za kila kitu kilikamilika - HONGERA


Masomo wakimsindikiza 


Mariam White na mwenzake wakabidhi zawadi yao


 
CAKE
Haya ndio mambo ya ubunifu naona kitanda, makochi

Mariam Mkweche akimsaidia kukata keki
Asante Mama


Saida Thabit akimpeleka Adya kumkabidhi zawadi yake SOFA COACHSalama & Mwanaidi wakipeleka zawadi yao, flat screen

TUNZA
Mama alitunzwa sana tu!!!
Dada akitunzwa kwa niaba ya uncle Yahaya
Somo akipokea one of her 1,000,000/=
Somo, Adya na Mama, hao ambao wamevaa sare ya kitenge iliyofanana na mama, walitumnza somo kila mmoja laitoa 1,000,000/= TSHS za kitanzania hakuna haja ya msururu mreefu ndio itimie million!! kwa maana hiyo somo alipata 5MTZS
Mariamx2 & Joha
Adya & Dad Left
Mariam Twahir & Mariam Mkweche mabest walioshibana kama majina yao
Rehema Chande & friend

My Best friend ever, I really LOVE YOU


Pendeza ile mbaya "MY PEOPLE", kama majini kwi kwi sina hamu si unajua zile story jina ankuwa mznuriiiii, ananukia vinzuriii sasa kuna mtu aliwaambia mashostito kuwa mmependeza kama majini!!!! M N A T I S H A
Designer Joha Simba (BIG sis)
Tahiya, Amonah & Friend, ng'ari ng'ari kila siku, BONGO=NEWYORK, kila siku sikukuu
Mashostoti's hapa uingizi chochote kuwachonganisha wameshibana
Uncle Yahaya usijali everything will be alright chezea wana wa jiji!!!
Bahiya & Saida
Shostito ROSE siku nyingi lakini raha yake kila siku anabonyeza kitufe cha mashughuli blog!!
Binamu yangu Catherine mama mitumba kinondoni manyanya, ukitaka vya ukweee nenda kwake
Super Star Tanti Boy somo wa ukwee'e somo Dida mwenyewe
Jamilah Kitmtim, akiwa kazini kichwa kama PC kila kitu anashika kwa dk 1
Shamimu na yeye ana mwali nimesikia singo lini tena??
Watu Oyeee!! pendeza, wa mujini
Mabest as i know, kwani mie nisingemjua Yahaya without Salama
Mariam Tawhiri & Rehema Twahiri wakitunza kwa raha zake
Hao ndio masomo kwa pamoja walishirikiana kumfunda Adya. mamii umepata mavituz kibao
Somo na mwali wake, baada ya kumkabidhi viombo vyake
Mariam Best
Super STAR" Tanti Boy"
Mama mzaa chema, ambaye ndiye dada wa uncle Yahaya


Khadija, Dalila & Salma from Dubai?? mie nimependa Dish Dash Saaana
Left: baba mzazi & uncle


RED CARPETUncle Yahaya - Hongera shughuli pambe baba mpak Mix (urojo)

Ebu ngoja na mimi nipozi babu inakuwaje!!


Funika ile mbaya, unapendeza mpaka watu wanadhani wewe "JINI" hii kali, mbunifu wa kivazi hicho no JOHA SIMBA ABDALLAH - 0715-612954
Saida Thabit mama wa China Style upo? pendeza 

Guess Who???
Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. Bishosti mie huwa sikosi kuingia kwenye hii blogu yako tangu ulipoifungua kwani mie napenda sana shughuli zetu za uswahilini. Leo nataka nikwambie kitu kimoja, hii kitchen party ni funika bovu, funga kazi, kila kitu ni cha ukweli, kuanzia somo, mwali, wapambe na wageni waalikwa.

  Nimempenda sana mama mwali kwa kumthamini kaka yake mjomba Yahya, si wengi walio nacho huthamini ndugu zao, mwanamume aliyemuoa huyo binti amepata wakwe, huyo mtoto ametoka kwenye "mifupa ya watu" msemo wetu wa kizamani huyo.

  Subira!

  ReplyDelete
 2. mh funika ilembaya mashughuli nakuona umepungua kidogo umependeza nimependa mikono yanguo yako.

  ReplyDelete
 3. mie bado namlilia bi said,kiukweli nimempenda.naona comment yangu ulinibania first time

  ruttajunior@yahoo.com

  ReplyDelete
 4. Nimependa umoja wenu hakuna kitukizuri kama kushirikiana.Jambo moja tu mama zangu na dada zangu asilimia 99 mmejichubuaaaa.... hizo make ups loooooh! simjui hata mmoja hapo ila hiyo mikorogo kweli kama majini!!!!

  ReplyDelete