Ubalozi Wetu Uingereza wafutarisha|URBAN PULSE|

Ubalozi wa Tanzania Hapa London Leo uliwaalika watanzania wote kutoka madhehebu na dini mbalimbali kuja kupata futari ya pamoja walioandaa ikiwa ni ishara njema ya kuonyesha amani,upendo, ukarimu kwa watanzania wote. Vyakula vya aina mbalimbali viliandaliwa  na vilipikwa katika hadhi ya kitanzania. Naibu Balozi Mh Chabaka aliwashuru wadau wote ambao waliweza kuja na kujumuika na kufuturu kwa pamoja. Aidha Mh Balozi aliahidi kushirikiana na watanzania kwa ukaribu zaidi katika hali na mali pia kuwaomba kutoa ushirikiano wao na ubalozi katika kuboresha mawasiliano na utendaji wa kazi ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Aliendelea kwa kusema Ubalozi upo kwa ajili yetu hivyo tuutumie ipasavyo.

Afisa Zamarani akiwakaribisha wadau wote
 Afisa Zamarani akiwakaribisha wadau wote
 muda wa kupata futari ndio huu.


 Futari likikwenda sambamba kwa kupiga stori na kufurahia
 hata watoto walikuwepo

 Mh Naibu Balozi kilumanga akitoa shukrani kwa wote walioweza kuja kupata futari .
 Aziza Ongala( Mtoto wa hayati Remmy Ongala) Akila pozi na Frank
 Carol kutoka ubalozini(kushoto) akila pozi na jestina George

 Freddy Macha katikati akiwa na wadau
 


 Jestina George & Zaomba

Picture Thanks to Urban Pulse

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

No comments:

Post a Comment