Sponsor

TRAINING - DATA QUALITY ASSESSMENTS, M & E

2:49:00 PM

Wadau wangu nimwamiss sana najua mlishangaa kimya kingi na iftar za mwezi mtukufu wa ramadhani hamjaziona ni katika kueongeza elimu kama inavyojulika elimu haina mwisho, nilikuwa kwenye Training  course (DQA-M&E) hapo ambayo is funded by USAID, kitu kinzuri nilichofurai ni kwamba tunahudumia jamii, hapo tukiwa Mbagala Round Table, Maternity  Home, nina mengi ya kuongea na wewe ili tuweze  kusaidia TANZANIA.

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.