Sponsor

SHUGHULI HII YA MDOGO WAKE FATMAH KIMARIO - LUNCH KARIMJEE HALL

5:25:00 AM

NILICHELEWA SANA NAKAKUTA MAHARUSI WAMESHONDOKA LAKINI WATU WALIVYOPENDEZA IKABIDI NICHUKUE PICHA KIDOGO, USISHANGAE MAARUSI HUWAONI, Da Fatmah nisamehe mpenzi wangu, si unajua tena wa mji huu wakitaka lao??? mwendo ule ule picha zote hizi kabla ya Ramadhani

deco by picadilly
MC-Jamilla wa ukwee'e The only & one
Pendeza kwa kwenda mbele umewaona??


Fatmah Kimario na mashostiBilikis & Fatmah
Aunty Shukuru, long time sijakuona
masista do! wa ukwee'e
Angel mama wa China & mdogo wake
Jamila Siwa hapo kati ndani ya nyumba

mastista do wa ukwee'e
Bazee za ukwee'e
Wapenzi wangu, pendeza eeh! bazee za ukwee'e
MOI


WAIMBAJI MASTAA WA UKWEE WALIKUWEPO
Khadija Kopa
Hafua "STAR"
Rukia Ramadhani "STAR"
Watu wakicheza kwa raha zao
Maunda wa ukwee'e

You Might Also Like

0 comments

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.