SAADA FASHION - MALI IMPYA IMEINGIA KWA AJILI YA SIKUKUU WAKO KINONDONI MANYANYA KARIBU NA JACKY'S COSMETICS KINONDONI


Nawaonjesha

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

4 comments:

 1. samahani my dear hebu tunaomba utuwekee mapochi tofauti tofauti tuone na flat pia tuonyeshe ili tuone af tuagize mana wengine tupo mkoani huku please my dear,tusaidie wenzio mana vitu vinaonekana vizuri sana mpenzi.pia samahani kwa usumbufu.

  ReplyDelete
 2. please dear mimi penda sana pochi tuweke vizuri hizo pochi za pembeni tuzione tuagize please jamani.nisaidieni

  ReplyDelete
 3. mimi nakukosoa kiswahili hujui kama hapo juu umeandika vinahuzika, sasa hicho sio kiswahili na mara nyingi huwa unakosea sana maneno. uwe unasoma kabla hujapost,,, ni hayo tu kwa leo dada

  ReplyDelete
 4. Mdau uliyenikosoa kiswahili asante sana, lakini ukikosoa lazima utoe na njia mbadala, sasa mime ndio mkoseaji nimesoma nimeelewa lakini sijui niandike nini??

  ReplyDelete