SAADA FASHION WAJANJA WA MAVAZI,SLIMMING COFFEE
Sasa zinapatikana SAADA Fashion, Kinondoni Manyanya opposite na JACKZ Cosmetics, kwa maswali kuhusu kahawa piga simu # +255 655 426100/758 266 701Habari zenu Bana!!! sasa Slimming Coffee zinapatika Saada Fashion, Kinondoni manyanya karibu na Jackyz Cosmetics, kwa maelezo zaidi piga simu no.: +255 0655 426100/758 266701, pia bado tunafanya delivery Saturday & Sunday only!!!!

NGUO ZA WATOTO WA KIKE NA KIUME, ANGALIA MTOTO HUYU ALIVYOTOKA KIFASHION, SAADA FASHION NI WATAALAM WA KUTOA USHAURI KATIKA KUPANGILIA MAVAZI

Hii hapa mtoto anaweza vaa katika styletofauti - pendeza eeh!!
Saada Fashoion wanakupa ujanja wa kuchanganya mavazi

Ziko za rangi tofautiVivazi vya ukwee'e
Umecheki pozi??? Model wa ukwee'e, nguo inahuzika 100%

HANDBANG ZA STONE, NEW FASHION, PURE LEATHER! Nguo nzote zilizovaliwa zinapatikana Saada Fashion
Saada Fashion wanasema hivi, wewe uliye mbali na jiji la Dar, usikate tamaa kwani wako kwa ajili yako unachugua handbag na mawasiliano kwa malipo na jinsi ya kupokea mzigo,piga no.: +255 717 086 355/772 086 355


Side handbag, za kila aina


Nguo hii na side handbag zinapatikana Saada Fashion
Colour Blocking 


Vinguo vya ukwee'e
 Pia KT za kila aina zinapatikana Saada Fashion, picha zaidi za KT zinakuja

Mashughuli

Phasellus facilisis convallis metus, ut imperdiet augue auctor nec. Duis at velit id augue lobortis porta. Sed varius, enim accumsan aliquam tincidunt, tortor urna vulputate quam, eget finibus urna est in augue.

5 comments:

 1. asante sana mpendwa kwakutuwekea mapochi,vp pochi ya kwanza ni shilingi ngapi,pochi nyeusi pia sh ngapi my dear usinichoke mpenzi.samahani kwausumbufu.

  ReplyDelete
 2. samahani mpendwa usinichoke pochi ya kwanza bie gani,na pochi ya pili bei gani.

  ReplyDelete
 3. MDAU WANGU SIO USUMBUFU, NAOMBA PIGA SIMU NO HII ONGEA NA SAADA MWENYEWE ATAKUPA BEI ZOTE no.: +255 717 086 355/772 086 355

  ReplyDelete
 4. AYA ASANTE SANA MPENZI NITAONGEA NAYE.

  ReplyDelete
 5. nimezielewa xana hizo pochi

  ReplyDelete