Sponsor

Kitchen Party ya SaniaYusuf

2:20:00 AM

BRIDE::SUNITA
VENUE::OFFICERS MESS-OSTERBAY
COLOR::PURPLE

DESIGNER:: BAHIYA LUMELEZI 


SANIA akiingia ukumbini na malaika wake!!!
Nguo imempendeza Sania Designer - Bahiya LumeleziSania kapendeza sana designer wake ni Bahiya Lumelezi, kumpata piga # +255 713 233 362
Mum & Daughter

 Wasanii Waalikwa


 Khadija Kopa akiwarusha roho
ZAWADI
Zawadi ya Kabati, full na viombo ndani
Sanduku la somo likisasambuliwa

Zawadi ya Dressing Table
Sania akipokea zawadi ya TV
Mwanaisha Masanga akitunzwa

Suprise ya Sania kwa Wazazi wakeYou Might Also Like

2 comments

  1. naomba kumjua make up artist wa huyu bibi harusi! nahisi ni yeye amemfanya binti wa watu anune siku nzima!maana alipojitazama kwenye kioo nahisi akaona looh leo kasheshe! lakini shughuli ilipendeza siyo siri!

    ReplyDelete
  2. Dada Sunita, umependeza, na huu ndo mwanzo wa mashughuli, shughuli ijayo jaribu kusmile my friend! you are the centre of attraction! enjoy it my dear!

    ReplyDelete

SUBSCRIBE NEWSLETTER

Get an email of every new post! We'll never share your address.